HahahZoezi analopiga Zari akiwa mjamzito sio la kawaida sio kama wanawake wa kibongo akibeba mimba tu utadhani kaparalise anadai kama Tanesco au TRA. Mtu anajilegeza kama kashindia supu ya bamia kwa nini viungo vidikakamae kama unakula cement uchungu lazima ukufanye uzae mmoja tu
Haha kudeka mwanzo mwisho nyie wabongo ..mara nataka miwa..mara chokleti mara chips kavu mara mishkaki mara asali mara pipi..mara sitak kusikia harufu yako yan full drama ..mara uwiii kiuno ... lakin bibie wala yeye mazoez na tizi utadhan yuko depo vile anajiandaa kwenda vitani duuuh namuangaliaga tu simmalizi ze boss ze ledi[emoji23][emoji23]au huwa hateseki sisi wengine ni kero kutapika,kula ni shida kuugua ndio kuugua mwanzo mwisho kwakweli anajitahid
Pia hili nilitaka kuuliza ..atakua citizen by birth ..kwaio ni msauzi ..duuuh..mtoto atakuwa msauzi?
hahahahahaTembelea maduka yetu ya tigo yalokuwa karibu nawe.
[HASHTAG]#Ahsante[/HASHTAG] kwa kuchagua tigo.
i wish mtu aseme maneno haya haya uliyoyaandika kwakowamtoleee kizazi ametosha sasa au mpk amalize makabila!kila la heri lkn
Ikiwa kwa mwenzio ulizani yakawia hiyo miezi tisa ibebe wewe uone utaona mwakaMara ii miez 9 tayarii
Like[emoji122]Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubir Chibu junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA ..
MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.
Mwenzio keshazoea...hadi anajipiga mwenyewe selfie za kutosha akiwa anajifunguaKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Freemasons ni Imani ya kijinga iliyotungwa tu.Zamani tulikuwa tunaambiwa Diamond ni freemasons, na ukiwa member wa freemasons huwezi/huruhusiwi kupata mtoto. Sasa mpaka leo najiuliza Jay Z ni freemasons ana watoto, Chrisbrown nk
[emoji117] Hongera Zaribosslady na Diamond Platnumz kwa kupata mtoto.
-*Raha sana kuwa na watoto wengi, mfano ukiwa na watoto 10 akafariki mmoja basi angalau hakuna ubaya wamebaki 9. Kuliko kuwa na mtoto mmoja au wawili ukapoteza mtoto mmoja utabaki na majonzi na masikitiko sana kwa maisha yote mpaka kifo.
kuzaa ni majaribu au uamuzi wa mhusika?i wish mtu aseme maneno haya haya uliyoyaandika kwako
halafu Mungu akupe majaribu ukumbuke uliyoyasema
Freemason siyo imani ni organization ambayo ipo ila watanzania wengi tunaielewa ndivyo sivyo! Tafuta vitabu mkuuFreemasons ni Imani ya kijinga iliyotungwa tu.
Hakuna kitu kama hicho.