Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Hivi zile story za Tiffa baba ake ni Ivan ziliishia wapi au haters walisarenda? Sasa ole wake aje mtu aseme Chibu Jr baba ake Chameleon #atapumuliwa#
 
Picha ya mtoto bado...hizo zinazotoka feki..ukitaka umuone panda dau ... itakua kama ya tifah..anaanza kuoneshwa mara wiki hii mguu, mara wiki ijayo mikono...na voda wanaweza wkaafanya kama walivofanya kwa tifah
 
Mapenzi ya Mungu yatimizwe kwa kadiri ya kiu ya wazazi wa kiumbe kitarajiwa!
 
Zoezi analopiga Zari akiwa mjamzito sio la kawaida sio kama wanawake wa kibongo akibeba mimba tu utadhani kaparalise anadai kama Tanesco au TRA. Mtu anajilegeza kama kashindia supu ya bamia kwa nini viungo vidikakamae kama unakula cement uchungu lazima ukufanye uzae mmoja tu
Hahah
 
[emoji23][emoji23]au huwa hateseki sisi wengine ni kero kutapika,kula ni shida kuugua ndio kuugua mwanzo mwisho kwakweli anajitahid
Haha kudeka mwanzo mwisho nyie wabongo ..mara nataka miwa..mara chokleti mara chips kavu mara mishkaki mara asali mara pipi..mara sitak kusikia harufu yako yan full drama ..mara uwiii kiuno ... lakin bibie wala yeye mazoez na tizi utadhan yuko depo vile anajiandaa kwenda vitani duuuh namuangaliaga tu simmalizi ze boss ze ledi
 
wamtoleee kizazi ametosha sasa au mpk amalize makabila!kila la heri lkn
i wish mtu aseme maneno haya haya uliyoyaandika kwako
halafu Mungu akupe majaribu ukumbuke uliyoyasema
 
Zari hongera kwa kufyatua Mama mimi nasema fyatua tuu hakuna shida Chibu yupo....
 
c6499b3c42bfd13bd92324577740cbc5.jpg
f5e338a475e952094cc4176da632ea47.jpg
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa Diamond ni freemasons, na ukiwa member wa freemasons huwezi/huruhusiwi kupata mtoto. Sasa mpaka leo najiuliza Jay Z ni freemasons ana watoto, Chrisbrown nk
[emoji117] Hongera Zaribosslady na Diamond Platnumz kwa kupata mtoto.
-*Raha sana kuwa na watoto wengi, mfano ukiwa na watoto 10 akafariki mmoja basi angalau hakuna ubaya wamebaki 9. Kuliko kuwa na mtoto mmoja au wawili ukapoteza mtoto mmoja utabaki na majonzi na masikitiko sana kwa maisha yote mpaka kifo.
Freemasons ni Imani ya kijinga iliyotungwa tu.

Hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom