UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

Kwenye Mungu kuiepusha Tanzania na Kimbunga mnaamini na mnashupalia ila kuamini kuwa Mungu aliiepusha Tanzania na bwana yule kwa kumtwaa hamtaki kuamini! What a double standard? Tanzania ni ile ile na Mungu ni yule yule Mataga nyinyi, kubalini Mungu anaipenda Tanzania na anailinda na mabaya yote!
 
Imani yetu haichanganywi na chuki Kama yako.
 
Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania

Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari

Mungu ni Mungu

Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania

TMA
View attachment 1762433
Asante Mungu usikiaye na kujibu maombi ya waja wako, tuendelee kuomba wale tunaowiwa kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…