Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu watu wamegoma kutolewa kafara
Ccm wajanja sana kuanzia juz trafic walikuwa wanakamata sana bodaboda,afu wamemzuia EL kufanya mkutano uwanja wa sheik amri abeid(uko mjini),amepewa uwanja uko kimandolu ambako hakupitik kabisa..
Leo mji mzima umejaa police,ndo tunaelekea uwanjan lkn tunaambiwa watu n weng mnoo
Wapi nimeandika ya lowasa wewe umepagawa??
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana jeshi la polisi kwa kudhibiti wahuni wanaotaka kuvuruga amani ndani ya jiji hili.
Nimeviona vikosi vya jeshi la polisi vikijipanga vilivyo hapo maeneo ya central na pengine wakihitajika watafika eneo la tukio lolote litakaloashiria kuvunjika kwa amani.
Wakazi wengi wa jiji hili la Arusha wako katika shughuli zao za kawaida na hawako tayari kuona yale yaliyowakuta 2011 yakitokea huku walichokuwa wakikiandamania hakieleweki.
Mitaa ya kaloleni,Sekei,Bondeni,Naura,fire na maeneo yote ya katikati mwa jiji hali ni shwari.
Ki ufupi Arusha haina mafuriko wala kimbunga pako shwari kabisa.
shame on you umetumwa wewe na ccm
Akili zako zina hitilafu
Mbona unawashwawashwa tatizo nn? Ya Lowassa yanakuhusu nn huna aibu kwann usimwandike Pombe wako?? Tutolee roho mbaya yako lusifa wewe!!!
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana jeshi la polisi kwa kudhibiti wahuni wanaotaka kuvuruga amani ndani ya jiji hili.
Nimeviona vikosi vya jeshi la polisi vikijipanga vilivyo hapo maeneo ya central na pengine wakihitajika watafika eneo la tukio lolote litakaloashiria kuvunjika kwa amani.
Wakazi wengi wa jiji hili la Arusha wako katika shughuli zao za kawaida na hawako tayari kuona yale yaliyowakuta 2011 yakitokea huku walichokuwa wakikiandamania hakieleweki.
Mitaa ya kaloleni,Sekei,Bondeni,Naura,fire na maeneo yote ya katikati mwa jiji hali ni shwari.
Ki ufupi Arusha haina mafuriko wala kimbunga pako shwari kabisa.View attachment 276636
Za kwako zinaenda ant-clockwise