Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Watu wameanza kujazana asubuhi
 

Attachments

  • 1439635958048.jpg
    1439635958048.jpg
    49 KB · Views: 1,409
  • 1439635977557.jpg
    1439635977557.jpg
    41.9 KB · Views: 1,312
  • 1439636001365.jpg
    1439636001365.jpg
    54.9 KB · Views: 1,287
  • 1439636024801.jpg
    1439636024801.jpg
    47.3 KB · Views: 2,271
  • 1439636046524.jpg
    1439636046524.jpg
    33.5 KB · Views: 1,297
Mkutano unafanyika Kimandolu, Msafara unatokea KIA unataka hapo Mjini Kati pajaaje sasa??

Hiyo sehemu uliyopiga picha ni kama mtaa wa Kongo pale Kariakoo, vipi mbona watu hawapo hapo leo??

Hawa Mods nao wanalala sana sikuhizi.. Huu ujinga sijui wanauachaje hapa.

Kwa nini mji haujapambwa na bendera za chadema?Na watu wanaendelea na shughuli zao.Leo maduka si yangefungwa ?

By the way usipanic mimi natoa updates za usalama wa mji.
 
Mbona unawashwawashwa tatizo nn? Ya Lowassa yanakuhusu nn huna aibu kwann usimwandike Pombe wako?? Tutolee roho mbaya yako lusifa wewe!!!
 
Mbona unawashwawashwa tatizo nn? Ya Lowassa yanakuhusu nn huna aibu kwann usimwandike Pombe wako?? Tutolee roho mbaya yako lusifa wewe!!!
Wapi nimeandika ya lowasa wewe umepagawa??
 
Ccm wajanja sana kuanzia juz trafic walikuwa wanakamata sana bodaboda,afu wamemzuia EL kufanya mkutano uwanja wa sheik amri abeid(uko mjini),amepewa uwanja uko kimandolu ambako hakupitik kabisa..
Leo mji mzima umejaa police,ndo tunaelekea uwanjan lkn tunaambiwa watu n weng mnoo
 
Mbona chuga kama mnataka kupotezwa na Mbeya..?
makamanda msituangushe.
 
Hapo ndio A town kwenyewe pako shwari na salama salmini na bendera za ccm zinapepea kama kawaida.
 
Badilisha account name mkuu unajidhalilisha, watu wanashindwa kijadili mada wanajadili avtar yako
 
Back
Top Bottom