Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Fanyeni kazi acheni uvivu eti mnapiga kambi,wenzenu walishajikusanyia chao sasa hivi wanawatumia tu,subilieni Oct 25 kutumia vkatio vyenu sio kushinda barabarani mnahema km mbwa aliyekosa maji.Mtajiju na ushabiki mandazi.

Ny.oooo.ooo! Umevugwa tena kwa 0713
 
Nape l: Wanao hama ccm ni sawa na oil chafu ya gari
 

Attachments

  • 1439634536151.jpg
    1439634536151.jpg
    42.5 KB · Views: 853
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana jeshi la polisi kwa kudhibiti wahuni wanaotaka kuvuruga amani ndani ya jiji hili.

Nimeviona vikosi vya jeshi la polisi vikijipanga vilivyo hapo maeneo ya central na pengine wakihitajika watafika eneo la tukio lolote litakaloashiria kuvunjika kwa amani.

Wakazi wengi wa jiji hili la Arusha wako katika shughuli zao za kawaida na hawako tayari kuona yale yaliyowakuta 2011 yakitokea huku walichokuwa wakikiandamania hakieleweki.

Mitaa ya kaloleni,Sekei,Bondeni,Naura,fire na maeneo yote ya katikati mwa jiji hali ni shwari.

Ki ufupi Arusha haina mafuriko wala kimbunga pako shwari kabisa.mitaayatown.jpg
 
Lowasa kakataliwa Arusha.........kuleta picha hapa inaweza kuwa aibu kwa ukawa.
 
Mkiweka picha serikal haina bajet ya kupeleka wagonjwa wa moyo kwenda kutibiwa Marekani!
 
Back
Top Bottom