Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

attachment.php
 
Wadau wenye mapenzi mema na chama karibuni kesho mwanza viwanja vya furahisha
 
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...

Mkuu wewe huezipiga hata picha Mbili?!!
 
Kwa huu upepo wa kisiasa unavyovuma nchini hivi sasa, naamini hadi ifikapo Oktoba 25 mwaka huu yanaweza yakawa yametokea maafa kadhaa ya wahanga wa pressure.

Maana hii CDM inachofanya hivi sasa ni kutaka sifa, yaani wakati maccm bado yanaugulia maumivu makali sana ya ile nyomi ya 'kufa mtu' kule Mbeya, leo tena mmepania huko Arusha kulisimamisha kabisa jiji la Arusha.

hahaaaaa..... maumivu yanaendelea, na bado kesho mwanza..
 
Mbona hairushwi kwenye live jamani??.. Jana watu yumekodolea macho TV mpaka baasi... Taarifa yoyote kama waleo utaonekana please
 
nipo arusha hapa naona wanakunywa mbege na bia nyingi watu hawaamini yule ccm number one leo wako nae meza moja
 
Back
Top Bottom