Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

team lowasa imeinunua chadema, vijana wao wa cdm wapigwa stop kuzunguka na lowasa waambiwa wakae kimya kama slaa
 
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...
 
Arusha mbona mnazingua?. Nyie veeepe?

sasa hivi SAA ngapi?...au unataka taarifa gani kwasasa, kweli Lowasa tishio yaani saa sita mchana unaulizia mkutano Wa SAA kumi tena unaona kama tumechelewesha...
 
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...

Picha please kwani hakuna live TV
 
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli
 
ujinga ndiyo mtaji wenu .... hakuna wajinga tena siku hizi
 
Back
Top Bottom