Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Ok hawana mpango huku chekereni panapitika shwaari kabisa in upungufu tu wamawazo ya police upepo
 
Tuleteeni update za hapo uwanjani wakuu na pale KIA kunaendelea nini!
 
NDIVYO WAMPENDAVYO WATU. HAKIKA NI SAUTI YA MUNGU SINA BUDI KUISIKIA NA KUITII:majani7::majani7:
 
uploadfromtaptalk1439631523606.jpg
 
Hawa jamab wa Arusha wanazingua xana. Mbwembwe nyng picha hakuna. Tupeni updates wadau wa A'town.
 
Hello friends, would u post more pics plz....especially the recent ones....
 
Mwanajukwaaa endelea kutupa updates za huko,Rock city na viunga vyake kesho ni mwendo wa kuteleza kama Kamongo vile.Edo boy +Ukawa = >Victory
 
Back
Top Bottom