Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Kwanini baregu safari marando mdee tundu lissu na mnyika hawafuatani na lowasa? hata mbatia naona kama analazimisha tu. It seems lowasa ana team yake tofauti na team ya chadema.
 
Kamara zote na simu zimelowa huko arusha kwa hiyo tusitegemee picha yeyote!!!!
 
Oteeeen
 

Attachments

  • 1439629898157.jpg
    1439629898157.jpg
    8.5 KB · Views: 1,305
Ianzishwe thread nyingine na mtu mwenye taarifa kamili na picha, hii iunganishwe mwishoni.
Just my opinion.
 
Msituhamishe humu na mambo ya shati kwa ujumla tuu lowasa hafai kuwa Rais wa awamu ya Tano, labda awe kiongozi wa Cdm tuu,
 
watoa habari wa arusha mmetuangusha sana kama hauweki picha
hakuna haja ya kuandika hayo mnayoandika.
 
Back
Top Bottom