Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Swali ni je wana arusha watavunja rekodi iliyowekwa mkoani mbeya?
 

Attachments

  • 11058327_1068304499870666_693933441468915474_n.jpg
    11058327_1068304499870666_693933441468915474_n.jpg
    34.6 KB · Views: 1,503
  • 11866407_1068304033204046_3273026783942343783_n.jpg
    11866407_1068304033204046_3273026783942343783_n.jpg
    71.7 KB · Views: 28,565
  • 11907228_1068304019870714_371469085023975553_n.jpg
    11907228_1068304019870714_371469085023975553_n.jpg
    23.5 KB · Views: 13,852
  • 11204878_1068303999870716_752456486436779453_n.jpg
    11204878_1068303999870716_752456486436779453_n.jpg
    56.8 KB · Views: 66,081
  • 11863284_1068304026537380_2091880850529459761_n.jpg
    11863284_1068304026537380_2091880850529459761_n.jpg
    48.2 KB · Views: 14,327
Picha zinaeleweka kuliko maneno yako...chukua hizo zinazokuja ziweke mwanzoni mwa uzi wako....

Omba usaidiwe kuzipangilia kama huwezi...sio vizuri kuanzisha thread halafu hamna update yoyote ya maana unayotoa....

Huyu Jamaa ndoroobo kweli yani. Ameanzisha Sredi alafu hajui kufanya prompt updates.

Lakini pia akina Mungi, Molemo sijui wapo wapi. Arusha lep kumepoooza, utafikiri siyo nyumbani bwana.

Laigwanani anarudi home..hureeeeeeeeee!! FUTA CCM.
 
Huyu Jamaa ndoroobo kweli yani. Ameanzisha Sredi alafu hajui kufanya prompt updates.

Lakini pia akina Mungi, Molemo sijui wapo wapi. Arusha lep kumepoooza, utafikiri siyo nyumbani bwana.

Laigwanani anarudi home..hureeeeeeeeee!! FUTA CCM.
Hata mimi wananikera aisee wamwzubaa mno bora hata mbeya mida kam hii mipicha kibao
 
hii thread haina mvuto hata kidogo.
mnatupa maelezo mengi picha. kama hamuwezi acheni
 
Yaani watu wanampenda huyu Mzee Lowassa jamani....!!!

Kila kona watu wamejaa, kila mtu ANAKUJAAAAA...anakujaaaa...anakujaaaa...anakujaaaa...

Hata hawana haja ya kumalizia kusema ni nani ANAKUJAAAAA....

Mamilioni wamejaa Arachuga leo...tokea Singida, Kilimanjaro, Tanga, Mwanga, Manyara...!! wengine wamelala nje, stadium...!!!

Yaani watu leo ni kujiremba tu, anakujaaaa, anakujaaaa, anakujaaaaa....

Jamaniii...Huyu ni Messiah...!!! Mteule wa Mungu kabisaa....!!!

Mimi sijawahi ona watu wakiwa hivi...sijapata kuona...niliona Marekani mara ya kwanza Obama akiapishwa tu...
watu walilia sana kwa furahaaa na uchunguuu....

Ndio naona watanzania leo...wanalia sanaaa kwa furahaaaa na uchunguuu wa kumpenda Lowassa...!!!

Vilio vya FURAHAAA.. 😭😭😭😭watu wanaliaaa kwa furahaaa iliyo na uchungu wa ukombozi ndani yao...
toka chini kabisa ya sakafu ya mioyo ya WATANZANIA WOTE....!!!!

Anakujaaa....anakujaaaa...anakujaaa...
Rchuga leooooooooo...!!!
 
Back
Top Bottom