Haya ni mawazo yako tu. Huu ni wakati wa Kampeni ya ubunge ambayo kila mmoja yuko jimboni kwake. Ukizubaa kutangeneza miundo mbinu ya Ubunge wako, unaweza kushtukia umekatwa kidizaini fulani. Ndo maana hawapo.Kwanini baregu safari marando mdee tundu lissu na mnyika hawafuatani na lowasa? hata mbatia naona kama analazimisha tu. It seems lowasa ana team yake tofauti na team ya chadema.