Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Fungeni huu uzi ili mtu smart na sharp aanzishe mwingine. Mleta uzi yuko slow sana, not up to date. Yaani Arusha tulitegemea tulioko mbali tuone team ya habari ikifanya kazi yao. Mbeya Rais wao Sugu aliwashinda kabisa. Bravo team ya Mbeya.
 
Fanyeni kazi acheni uvivu eti mnapiga kambi,wenzenu walishajikusanyia chao sasa hivi wanawatumia tu,subilieni Oct 25 kutumia vkatio vyenu sio kushinda barabarani mnahema km mbwa aliyekosa maji.Mtajiju na ushabiki mandazi.
 
uploadfromtaptalk1439632582939.jpg
 
nimeona nianze kurusha picha Mimi nipeni dakika kumi niongeze kifurushi

Asante sana mkuu, maana mleta mada yuko slow mno. Anatakiwa kila dakika chache afanye update kwa thread mwanzoni kwa kuweka picha za matukio ya maana. Thread ni ndefu na itajaa sana leo hivyo si rahisi kufuatilia kila mchango na kuona picha. To this effect picha za maana zikae mwanzono au fungueni thread nyingine kwa Jamii Photo ili tupate images.
 
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli

vipi goli la mkono, mtama limefanyakazi...
 
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli

ww bibi kizee jembe ni ngoyai kavae nepi
 
Hivi viherehere vya watu wasioweza kutoa updates kukimbilia kuanzisha thread sijui vimetoka wapi wengine mbakie kutoa comment tu muwaachie wengine kutoa updates.
 
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli
sawa, ngoja jembe lenu tuliingize mpini ili litulie. Magufuri jembe Lowassa mpini,wananchi tunauingiza.
 
Back
Top Bottom