Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Barabara ya Arusha moshi watu wamejipanga toka KIA hadi mjini Arusha. Network za internet ndo tatizo. kuna idadi ya watu wengi sijawahi kuona. kuna haja ya kuwa na TV ya CDM. Usafiri wa daladala hakuna. Pamoja na amri ya kukataza maandamano watu wanaandamana na polis wanalinda usalama na kuongoza maadamano.
 
We we kaachonjo utaanguka Bp picha utaziona mafungu kwa mafungu inaonyesha jinsi gani huijui RChuga tulia uonee
 

Sheikh Amri Abeid mali ya CCM hawawezi kumpa Lowassa autumie
 
Hizo picha za mapema sana subiri niweke picha sasa hivi usikie jk kaanguka kwa pressure
 
 
Mbona unawashwawashwa tatizo nn? Ya Lowassa yanakuhusu nn huna aibu kwann usimwandike Pombe wako?? Tutolee roho mbaya yako lusifa wewe!!!

Jingalao kweli ni jinga lao
 
Arusha watu wanaendelea na shughuli zao Kama kawaida....

Tukutane October 25
 

Unatamani kuona mambo yanakwama lakini utaratibu unaendeleaje kwa Utulivu, watu wameshakusoma na kukupuuza!Endelea kuhangaika mwishowe utataga na uatamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…