Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Ccm tumejimaliza wenyewe kwa ujinga na ubinafsi Wa jk na familia yake
 
Makamanda tuko pamoja ndani ya TINDIGANI.PEOPLEEEEZZZ
 
Nyie Watanzania wa Arusha mnatatizo gani PIC zinawashinda nn au mmelogwa
 
MUSOLLIN5@
Kijana umetuangusha sana, Hivi unajua mateso unayo tupa sie wa mikoani? kama kuna msaada unahitaji ungesema ili tupate hizo picha na update nyingine tafadhali
 
Niko eneo la tukio, kuna nyomi ya kutosha ila bado mheshimiwa rais hajafika,wekeni namba niwatumie picha watsap. Kwa hili nyomi ccm tumeshikwa pabaya,kuna watu karbu milion 2 hapa.
 

mkuu usilalamike, ni kwamba EL kakataliwa Arusha.
 
Niko eneo la tukio, kuna nyomi ya kutosha ila bado mheshimiwa rais hajafika,wekeni namba niwatumie picha watsap. Kwa hili nyomi ccm tumeshikwa pabaya,kuna watu karbu milion 2 hapa.

million 2.. haiwezekani!! hapa umedanganya.
 
mitandao imechezewa. kurusha picha ni vigumu sana leo. labda mtumie whatsapp. arusha mitandao imezuiwa kurusha picha au kuna tatizo flani la kimitandao.
 
namuona JK TBC eti wizara ya ujenzi wanamuaga wamemuandalia sherehe..anazidi kumharibia magufuli tu ...sijui nani anawashauri wafanye haya mambo hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…