Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

attachment.php
 
Tuma hapa kwa whatsapp nijaribu kuapload
+14039150463
Yeyote mwenye picha
 
Paka sasa nimehesabu wako watu wa 5 tu kwny mkutano

Umemaanisha wewe ni "paka" na ni paka unaejua kuhesabu watu. Hongera kwa mfugaji wako kukufunza hesabu. Wewe ni Paka mwerevu.
 
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana jeshi la polisi kwa kudhibiti wahuni wanaotaka kuvuruga amani ndani ya jiji hili.

Nimeviona vikosi vya jeshi la polisi vikijipanga vilivyo hapo maeneo ya central na pengine wakihitajika watafika eneo la tukio lolote litakaloashiria kuvunjika kwa amani.

Wakazi wengi wa jiji hili la Arusha wako katika shughuli zao za kawaida na hawako tayari kuona yale yaliyowakuta 2011 yakitokea huku walichokuwa wakikiandamania hakieleweki.

Mitaa ya kaloleni,Sekei,Bondeni,Naura,fire na maeneo yote ya katikati mwa jiji hali ni shwari.

Ki ufupi Arusha haina mafuriko wala kimbunga pako shwari kabisa.

asante kwa taarifa, chief.

kama uliyoandika hapo juu ndiyo ukweli wenyewe on the ground, hii sasa ni uthibitisho tosha kuwa kumbe Chadema si chama cha kaskazini pekee bali kumbe kipo zaidi kanda za mashariki (mafuriko ya Dar) na nyanda za juu kusini (mafuriko ya Mbeya).

tutaendelea kufuatilia hii ziara kwenye kanda nyingine zilizobaki nchini ili tujue zina-compare vipi na kaskazini!
 



Jukwaa kuu lilivyopambwa. Hili ni gari maalumu



Wafanya biashara wa vifaa vya uenezi nao wameshajipanda



Bodaboda nao wanawasili


Diwani wa Kata ya Kimandolu Mh Ngowi ambaye ndiye mwenyeji wa eneo la Mkutano hapo Tindigani akibadilishana mawazo na mmoja wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa watokano na Chadema

Mwananchi aliyekuwa akitoa burudani ya kuigiza kama Lowassa

Wanausalama wa UKAWA wako makini, tayari kwa shughuli husika

Jukwaa Kuu linavyonekana nje ya uzio



Sehemu watakayotumia watumbuizaji




Askari wa Jeshi la Polisi wakirandaranda kuimarisha usalama




KWA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA BLOGU HII TENA NA TENA! KARIBU
 
Nimesikitishwa sana na tukio la kijana kupigwa makofi na askari kwenye daraja la nduruma,kisa amepiga picha akiwa kwenye bus la urio, bahati mbaya miongoni mwa waliompiga mmoja ninamfaham
 
Umemaanisha wewe ni "paka" na ni paka unaejua kuhesabu watu. Hongera kwa mfugaji wako kukufunza hesabu. Wewe ni Paka mwerevu.

Ladypepeta? Hiyo ni brandy name ya con…m ya kike
 
Ni kweli mabomu yamepigwa kisa askari wanazuia bodaboda wenye bendera ya cdm kwenye daraja, ndipo bodaboda nao wakafunga barabara
 
Wanajamvi niko kimandolu Mji umesimama huu uwingi wa watu wakimpokea lowasa sijawahi kuushuhudia katika nchi hii, watu walisema mbeya ndio kulikuwa na nyomi sidhani kama patafikia. Mpaka polisi wenyewe wanashangaa, Ntatuma picha hivi Punde
 
Back
Top Bottom