Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Wanajamvi niko kimandolu Mji umesimama huu uwingi wa watu wakimpokea lowasa sijawahi kuushuhudia katika nchi hii, watu walisema mbeya ndio kilikuwa na nyoka sidhani kama patafikia. Mpaka polisi wenyewe wanashangaa, Ntatuma picha hivi Punde

Niko clock tower hali shwari, kila mtu anaebdelea na lake. Wala sija hisi kama fisadi yupo mjini?
 
Tuma fasta...naona mada za EL hazipendwi humu, isije ikafutwa na hii.
 
Leo Arusha network inasumbua sana.
Hao waliofanikiwa kupost picha ni kwa neema ya Mungu.

Kuna mafuriko ya kutosha.
 
11899749_1011063825613128_6401811854898484674_n.jpg
 
Niko clock tower hali shwari, kila mtu anaebdelea na lake. Wala sija hisi kama fisadi yupo mjini?

Clock tower watu waende kufanya nini wakati shughuli ipo kimandilu...!?
 
arusha sio tena mafuriko bali ni maporo moko, makamanda tulieni tutawaletea picha hivi punde, maana hata maali pa kuchukulia picha ni shiiida, malemo na makene chadema kwanza wapo jukwaani watawaletea picha punde, ni maporomoko,
 
Tupo tupo hapa katka kuona huyuuuuu riz kweliii kapata wapi???? Tujiulize mbele tupate jibu wapo watoto wa viongozi walistaafu mbona hawana kituu
 
Huo uwanja unaitwa TINDIGANI yaani ni TINDIGA maji huwa yanatuama hapo na zamani kulikuwa kuna mpaka samaki sasa kwa gharika ya leo watu wamesimama juu ya maji na matope ya TINDIGANI kwaajili ya Lowassa.
 
Si mchezo...

CCM wanadhani makamanda wanabip...?

Duh...
 
Back
Top Bottom