Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

11896010_525352100962801_135374887028239547_n.jpg
 
sio kusimama mji umezizima balaaa polis wamekubali yaishe walikataa maandamano lkn hamna namna
 



Jukwaa kuu lilivyopambwa. Hili ni gari maalumu



Wafanya biashara wa vifaa vya uenezi nao wameshajipanda



Bodaboda nao wanawasili


Diwani wa Kata ya Kimandolu Mh Ngowi ambaye ndiye mwenyeji wa eneo la Mkutano hapo Tindigani akibadilishana mawazo na mmoja wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa watokano na Chadema

Mwananchi aliyekuwa akitoa burudani ya kuigiza kama Lowassa

Wanausalama wa UKAWA wako makini, tayari kwa shughuli husika

Jukwaa Kuu linavyonekana nje ya uzio



Sehemu watakayotumia watumbuizaji




Askari wa Jeshi la Polisi wakirandaranda kuimarisha usalama




KWA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA BLOGU HII TENA NA TENA! KARIBU

Ubarikiwe sana
 
Picha jamani mnawapa unafuu vibaraka wa lumumba. Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu yupo uwanjani anasema nyomi ya ARUSHA inaweza kuingia kwenye Guiness book of world records.
 
Tatizo police wanaoajiliwa ni walio feli na watoto wa wakubwa wasio enda shule. Karibia wote ni mabogasssss. Akili za kuambiwa changanya na zako. Tumia nguvu kidogo akili nyingi
 
Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
​[/QUOTE]

to
 
Back
Top Bottom