Mkuu shida ni network leo ipo chini sana, ila picha zipo za kutosha.
Itakua ni mchezo wa maccm....tuko pamoja mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu shida ni network leo ipo chini sana, ila picha zipo za kutosha.
Wekeni pichaPolisi wamepiga kidogo mabomu ya machozi lakini mambo yanaendelea kama kawaida, watu ni wengi sana
0658532891 rusha whatsapNiko eneo la tukio, kuna nyomi ya kutosha ila bado mheshimiwa rais hajafika,wekeni namba niwatumie picha watsap. Kwa hili nyomi ccm tumeshikwa pabaya,kuna watu karbu milion 2 hapa.
Paka sasa nimehesabu wako watu wa 5 tu kwny mkutano
Unajiabisha sana,hitahidu kujifanyia evaluation post zako
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana jeshi la polisi kwa kudhibiti wahuni wanaotaka kuvuruga amani ndani ya jiji hili.
Nimeviona vikosi vya jeshi la polisi vikijipanga vilivyo hapo maeneo ya central na pengine wakihitajika watafika eneo la tukio lolote litakaloashiria kuvunjika kwa amani.
Wakazi wengi wa jiji hili la Arusha wako katika shughuli zao za kawaida na hawako tayari kuona yale yaliyowakuta 2011 yakitokea huku walichokuwa wakikiandamania hakieleweki.
Mitaa ya kaloleni,Sekei,Bondeni,Naura,fire na maeneo yote ya katikati mwa jiji hali ni shwari.
Ki ufupi Arusha haina mafuriko wala kimbunga pako shwari kabisa.
Umemaanisha wewe ni "paka" na ni paka unaejua kuhesabu watu. Hongera kwa mfugaji wako kukufunza hesabu. Wewe ni Paka mwerevu.
jingalao,ktk ubora wake!
Polisi wamepiga kidogo mabomu ya machozi lakini mambo yanaendelea kama kawaida, watu ni wengi sana