Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Huu ni upepo tu utapita na utatulia tu Watanzania msihofu ushindi ni kwa CCM na Dr Magufuli upo palepale
 
Picha jamani mnawapa unafuu vibaraka wa lumumba. Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu yupo uwanjani anasema nyomi ya ARUSHA inaweza kuingia kwenye Guiness book of world records.
Ilitumwa picha eti lowassa kakutana na Jk msibani kumbe mzee kazuiwa same.nyumbu acheni kulazimisha mambo
 
Dah arusha bana!
 

Attachments

  • 1439641884751.jpg
    54.5 KB · Views: 1,649
Hili tatizo la network Arusha itakuwa ni hujuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…