Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Clock tower watu waende kufanya nini wakati shughuli ipo kimandilu...!?

Sasa unasemaje mji umesimama wakati upande mwingine watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida*** unajua maana ya mji kusimama?? Rais wenu atakaguaje gwaride,, amir jeshi mkuu atakuwaje na afya ambayo sio nzuri,, amir jeshi atakuaje anapoteza kumbukumbu,, hatuhitaji kuwa kwenye risk ya kuitisha uchaguzi kabla ya 2020. Tunahitaji rais aliye fit kiafya..
 
Breaking news from Arusha

Waliojiunga na CHADEMA:
Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
Mgombea ubunge Simanjiro
Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima

Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu
Moto wa mabua tuu huu!
Haunguzi hata handkerchief
 
Waliojiunga na CHADEMA:
Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
Mgombea ubunge Simanjiro
Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima

Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu
Gari la taka limeandaliwa uwanjani kwa ajili ya kutupia kadi za ccm
Wazee wa kimila wanamvika uchifu Mh Lowassa
Lau Masha:
Maamuzi magumu yamefanyika hivi leo, lakini ni maamuzi muhimu, sitaongea leo, nitangaze tu kwamba nimejiunga rasmi chadema
Robinson m/kiti uvccm:
Wale Wakristo kuna wimbo unaosema Nimetoka kwa Farao misri sirudi tena.
Kuna kijana moja kazi yake ni kuongea uchafu, anasema oil chafu, anasahau oil chafu ndiyo inayoendesha mitambo.
Anasema Ufalme ukianguka sheria haina budi kubadilika.
Nataka niwaambie tunazijua mbinu zao zote, waandike maumivi maana ikulu tunaenda maana inatuhusu.
Lowassa anasema tumechoka na umaskini, tunakwenda kuwasaidia vijana kuhusu ajira.
Watanzania tuna fimbo yetu ya kuwapiga ccm, nayo ni kadi ya kupiga kura
Ole Medeye:
Anaimba kuwa Mwambie Kikwete nimezinduka, ccm sirudi tena.
Nimejitoa ccm kwa sababu mbili kuu, ya kwanza dhuluma imezidi ndani ya ccm, wanaapa kinafiki kuwa watailinda katiba ya nchi wakati wanaivunga, pili rushwa imekithiri katika taifa hili, nilifikiri kupitia ccm ningeshiriki kupiga vita rushwa, lakini matokeo yake kumbe niliowaamini kupiga vita rushwa ndiyo wanaotoa rushwa.

Hivyo nimejiondoa ccm ili tuweze kurudisha maadili ya nchi
 
attachment.php
 
Wote wamekatwa hao.mi nasubiri mtu kama pinda au gharib,Lau masha?mizigo tu ya misumari hiyo
 
Back
Top Bottom