Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

attachment.php
 
kwa hiyo bora fisadi anayejulikana kuliko fisadi anayejificha!

Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
​[/QUOTE]
 
Watu ni wengiiiiiiiii sanaaaaaaa...naaaaaaaaa...!!!

Inatakiwa chopa kupiga pictures....!!!!

Miti watu wamepanda...ni wengiiii...camera bila chopa hapa huwezi pata pictures za kuona vizuri....!!! ni sheeeeedaaaa..!!!!

Useless...
 
Wee unatafuta kifiroooo....

Mara uko CCM mara unamtaka Dr. Slaa...

Hayo makalio yana Ky tuanze kazi...kaoge jiandae...tutakupiga pumbv utembee ki matege matege all ur life..!!! Utashikwa na kigugumizi bastard wee...!!!👌👌👌👌👎👎👎

Duuuuuuuu ila kayataka
 
Arusha kuna fisi maji wa kijani aliyebaki kweli maana naona kila uso ni ukawa hapo wapo imara kama simba wa yuda!!
 
Moderator na nyie mnakua kama watangazaji wa tbc....hebu pandisheni hizo picha kwenye hiyo thread hpo juu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom