Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Dr Slaa aonekana.
Kuna jk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa aonekana.
Aisee ngoja nichokonoe tatizo lilipo
Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua
Sioy Sumari naye yupo chadema leo.
Pichaaaa mbwa we
Msituhamishe humu na mambo ya shati kwa ujumla tuu lowasa hafai kuwa Rais wa awamu ya Tano, labda awe kiongozi wa Cdm tuu,
kwa style hii lile bao la mkono la nape linaweza kumpa mimba yeye mwenyewe!
Huu ni upepo tu utapita na utatulia tu Watanzania msihofu ushindi ni kwa CCM na Dr Magufuli upo palepale
hapo network hafifu kwa huo mtitiMwenye macho haambiwi....
Watu ni wengiiiiiiiii sanaaaaaaa...naaaaaaaaa...!!!
Inatakiwa chopa kupiga pictures....!!!!
Miti watu wamepanda...ni wengiiii...camera bila chopa hapa huwezi pata pictures za kuona vizuri....!!! ni sheeeeedaaaa..!!!!
Wee unatafuta kifiroooo....
Mara uko CCM mara unamtaka Dr. Slaa...
Hayo makalio yana Ky tuanze kazi...kaoge jiandae...tutakupiga pumbv utembee ki matege matege all ur life..!!! Utashikwa na kigugumizi bastard wee...!!!👌👌👌👌👎👎👎