Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA


Hahahahaha...

Mgeja bana...
 
CCM ndani ya ukawa,,, mapinduzi na ukombozi vimeporwa na mijoka iliyokuwa inaitafuna Ccm,, na bado mtapokea wengi maana tunawajua waliobaki bado hawauelewi upepo bado,, CCM sasa inaenda kuwa safi na kurudi kwa wenyewe wananchi,, asante Jk kwa kuwasha moto kichaka na kukimbiza mijoka tafuna, kifuatacho ni kazi na mchamchaka...
 
Hivi Sioi bado alikuwa CCM? Masha alishinda kura za maoni kule Sengerema kweli?

Hayo hayatusaidii sana kwa sasa,tunaangalia kuanzia tulipo na hatma yetu dhidi ya CCM .Unaweza kuwauliza wahusika utapata jibu la uhakika
 
Umati ni mkubwa sana,CCM kwisha kwisha kwisha habari,mtanyooka tu mwaka.
 
Baiskeli yenye magurudumu ya barafu, jua likiwaka magurudumu yanayeyuka na safari inakuwa na mwisho.

Mzee wa utabiri...

Vipi roho inakuuma sana...

Magufuli naye si alipita kila mahali "Kujitambulisha"

Au na wewe umehemewa...
 
Ilani ya chadema(ukawa)inasimamia nini hao wote watabadilika sawa anaeingizwa kwenye pipa la lami ukimtumbukiza humo na kumtoa atafanana vip nao pia watafanana malengo ya ukawa(ilani)wacha waende.
 
Yona Nnko:
Nimetoka ccm, ninafuraha kuwa mwanachama wa ccm, nimekuwa mwanachama wa ccm kuanzia TANU mwaka 1964.
Lowassa anajua siasa, ni mwalimu wangu wa siasa, ni mtulivu hana papara, ni fundi wa maendeleo.
 

Lowasa atachaguliwa na watu 20m ni kura za ndio kwa lowasa
 
Ila tu waendelee kuwa waanchama wa CHADEMA hata baada ya Tarehe 25-Octoba. Wasije wakaanza kuhama tena wakishindwa na huko.
 
Mzee Mtei:
Ninaambiwa kuwa muasisi wa hiki chama, roho yangu inadunda, nikiona umati huu na jinsi vyama hivi vimeungana nasikia furaha sana. Nashukuru kutuunga mkono, nawatakia kila la kheri katika safari hii ya ukombozi.
Ninashukuru sasa kwakuwa chama nilichokiasisi kimempata mtu wa kutupeleka ikulu
 
Ilani ya chadema(ukawa)inasimamia nini hao wote watabadilika sawa anaeingizwa kwenye pipa la lami ukimtumbukiza humo na kumtoa atafanana vip nao pia watafanana malengo ya ukawa(ilani)wacha waende.
Acha lugha nyepesi wewe kwani CCM hakukuwa na ilani??!! Watoto hawakai chini, dawa zipo??!!

Hawa wamechezea side A leo wanaenda side B na bado wanachekewa tu??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…