Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Masha ni hasara. Ila ndo hivyo tena.

Atafata Karamagi kesho Mwanza, then Rostamu kisha Manji afu mchezo unamalizwa na JK kumchinjia baharini makomeo....

Jamaa wamejipanga kurudi kupitia mlango wa Chadema. Aibu!!
Usidanganyike, Magufuli atashinda. Baada ya hapo ccm itakuwa na nafasi nzuri sana kujisafisha hasa kama Kikwete atakuwa na busara kuachia uenyekiti mapema mwakani.
Kwa upande wa chadema sijui hatma yao baada ya fisadi lao kushindwa, sioni watatuhubiri nini tena na mafisadi wao hawa juu ya serikali ya Magufuli. Ni giza nene mbele na wenye akili wameshtukia game la mangi.
 
Ndesamburo:
Leo ni siku ya furaha kwasbb nimechoka kuwa mpinzani miaka 25. Tarehe 25 Oct tunakwenda kutawala.
 
Ha ha haaaaaa, magufuli kweli amehemewa. Na anaye muhemea kamlalia.

Mimi nina amani sana leo. Kumbe watnzania wameamuka? Mwaka huu ccm mtaiona ya moto, mkijitahidi kuiba mtapata asilimia 25. UKWA oyeeeeeeeeeee
 
Sio makapi ni walizidiwa kete na mkuu wao hajuaaa ndio wamjua saaa hii
 

Mkuu kwa nukuu hizo hapo juu agiza kinywani chochote nitalipa hata kwa mpesa ccm byebye
 
Usalama Wa taifa mmeambiwa mkwamambie Kikwete hii nchi sio ya baba yake wala mama yake ,Una ugomvi na lowasa nenda huko shambani mkamalizane
 

Hueleweki unatapatapatu, arusha hauijui wewe tuachie mkoa wetu, tukutane October!
 
Umeongea sawa mbana roho inakuuma tatizo siiikutaja mikoa tulia uone mwenyewe haulazimishwi kuona maana kipofu wwe
 
Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Mafuriko ya arusha yamewazoa na kuwatakatisha.

Duh ama kweli LOWASSA NI TAASISI, SIO MTU, NIMEMKUBALI POLE POLE!
 
CCM wanaita watu makapi lakini deep down roho zinawauma sana...

Kwasababu walidanganywa kuwa wametoka Dodoma wakiwa wamoja...

MiCCM ndivyo ilivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…