Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

CCM hamjui hesabu kabisa !sio kila atakae hamia chadema atapewa nafasi ya kuongoza lkn hao watakiwa wapiga kula ili tukiangamize ccm :kwa hesabu ya haraka mtu mmoja akiamia chadema akawa kashawishi ndugu wa kalibu na familia yake plus mafiki zake = 1×50=50
je ktk jimbo wakihama watu 100 jumla itakuwa 5000

je kwa nchi nzima ?

Mambo ya let X=W

If W =1*50 then X=50

Huwezi weka hi mambo kwa watu wenye utashi na kuona, wanatumia akili na wanabadilika
 
Mafuriko ya mh Lowassa yawasomba watu wengi Arusha sasa hivi na mkutano bado unaendelea muda huu
 
Ila tu waendelee kuwa waanchama wa CHADEMA hata baada ya Tarehe 25-Octoba. Wasije wakaanza kuhama tena wakishindwa na huko.

Kweli CCM inatakata sasa make uchafuu wooote kwa CDM masrahi ..bora mjichuje wenyewe
 
Mbona wanaohamia wote majizi na walioshindwa kura za maoni?....sitegemei sioi ashindwe kumfuata baba mkwe wake.
 
Watu ni wengi sana washili ni wengi viongozi wa dini mbalimbali wamejaa uwanjani hapa asee.
 
Haitusaidii sana kuongea wakati wa kampeni,walikuwa wapi kuongea kipindi chote akiwa huko? Wakianza kuongea waongee yote na ya ESCROW especially beneficiaries wa Stanibic.Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu kama single yenu ni hiyo ya Richmond. "Pombe mwisho kaunta,mtaani ni Lowassa tu" By Mgeja
Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!
 
Hana maana huyo jamaa, "mtu mkubwa ovyo" hasa alipokuwa wizara ya mambo ya ndani
 
Naona CCM inajitakasa vyema sana. Dr. John Joseph Pombe Magufuli ataingia na watu safi ndani ya Ikulu, wachafu na wachafuzi wote wamejivua gamba!!

Wachafu ni wepi? Taja wasafi waliobaki CCM...

Magufuli mwenyewe ni mchafu kama jalala...
 
Masha umejitambua, usikumbuke jinsi ulivyopoteza jimbo bali uongeze nguvu katika ukombozi.
 
hivi mbona hawajiungi nccr au cuf???? kuna siri nini hapo
 
Back
Top Bottom