Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hivi huyu Masha baada ya kubwagwA kwenye kura za maoni suluhisho ndo kuhama chama?
 
Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!

mkuu kimbumga, kinachotokea sasa ni ile operation ya kuvua gamba inakamilishwa rasmi. Makapi yote yanajitoa yenyewe na CCM itabaki kuwa safi. Magufuri ataongoza watu waadilifu.
 
Sasa huyu Masha kwanza ashukuru sana JK kumbeba alikwa mbunge Nyamagana kashindwa na Wenje, akakimbilia Sengerema kapigwa chini kura za maoni.

Sasa anataka ubunge kupitia Chadema, hawa kati ya mawaziri waliomungusha sana JK.

Anataka kila sehemu JK ambembe bora akapumzike Chadema.
 
wanafunzi wakichungulia madrishani
11898541_844026842384437_3521145624124665587_n.jpg
 
CCM safi. Mpaka october wachafu watakuwa wemeondoka wote kwenda Chadema. Mungu saidia waende chama kiwe safi na tupate mabadiliko ya kweli.
 
Wapo wengi watapishana na mafisadi ndani ya CHADEMA, watatoka wengi sana
 
Waliojiunga na CHADEMA leo hii Arusha ktk mkutano wa hadhara wa kumtambulisha Lowassa Chadema Arusha.


  • Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe

  • Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara

  • Robinson Mwenyekiti wa uvccm Arusha

  • Sioi Sumari

  • Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha

  • Mgombea ubunge Simanjiro

  • Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido

  • Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
Hii ya mwisho ni ukabila sasa. Nadhani wazee wa kisukuma nchi nzima watajiunga na CCM!!! Hahahahaha
 
Ha ha haaaaaa, magufuli kweli amehemewa. Na anaye muhemea kamlalia.

Mimi nina amani sana leo. Kumbe watnzania wameamuka? Mwaka huu ccm mtaiona ya moto, mkijitahidi kuiba mtapata asilimia 25. UKWA oyeeeeeeeeeee

Ccm ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
CCM safi. Mpaka october wachafu watakuwa wemeondoka wote kwenda Chadema. Mungu saidia waende chama kiwe safi na tupate mabadiliko ya kweli.

Kama Speed ya Kukiama Chama Itakuwa Hii Hii, Sidhani Hata Octber Itafika Atakuwa Amebaki Mwenyekiti wa Taifa Tu.Hata Hivyo Nia CCM Wakae Pembeni Ili Kujisafisha
 
Back
Top Bottom