NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Aibu ya nani hiiiii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wote wamekatwa hao.mi nasubiri mtu kama pinda au gharib,Lau masha?mizigo tu ya misumari hiyo
Kwa hawa wanaosubiri kukataliwa kwa ubovu na ufisadi wao ndio wahame? Itakuwa faraja kwa watanzania kama wakiondoka wote. NYAMAGANA alishindwa akakimbia sengerema wakapiga chini. Hongereni Chadema kwa kuzoa watu.Kama Speed ya Kukiama Chama Itakuwa Hii Hii, Sidhani Hata Octber Itafika Atakuwa Amebaki Mwenyekiti wa Taifa Tu.Hata Hivyo Nia CCM Wakae Pembeni Ili Kujisafisha
daaah! ccm wanaandika lakini?
CC: MOSSAD II
cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga chadema asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.
Baiskeli yenye magurudumu ya barafu, jua likiwaka magurudumu yanayeyuka na safari inakuwa na mwisho.
Mmevurugwa ccm.
Mapombe ataongoza watu waadilifu gani.?
Chenge wa escrow
Tibaijuka wa escrow
Ngeleja wa escrow wana uadilifu gan wale?
Bye bye ccm
Makapi yanazidi kujidhihirisha, hongera ccm kwa sasa mmevua gamba
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.
Fikra mfu hizi ataunda Serikali kwa wabunge gani? je hao unaowaona sasa wanatoka watakuwa na vyeo gani huku kiuhalisia hawatakuwa wagombea na watakuwa ni wanachama wa kawaida tu.hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.