Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.

We ndooorobo kweli na ccm yako.hivi mnaandika lakin?

Mimi naona mnazid kupagawaa

Leo mmemkata lowasa kwa kuwa ni fisadi ushahid hamna.

Then kesho wake mnawapitisha watu kama chenge wa escrow tibaijuka wa escrow na ngeleja wa esrow kwenye kugombea ubunge watu waliokiri wenyewe kuhusika na ufisadi ule.

Hivi mna akili timamu nyinyi.
 
Wote waje tuu. Ukiona mtu anamkataza kumpokea mwana chama huyo hajui siasa. Kinachotakiwa ni kuwa manage tuu
 
James Mbatia:
Sauti ya umma ni sauti ya Mungu, Mungu akiamua kitu inakuwa. Naanza na hili kwasababu mm ni mjumbe wa kamati ya bajeti ya bunge, najua mateso wanayopata polisi, najua Arusha damu za watu zimemwagika kwa ubabe wa jeshi la polisi.
Polisi leo wanadiriki kumkaribisha Rais nyumbani kwake kwa mabomu. Namwambia Kikwete nchi hii siyo ya utawala wa kijeshi. Duniani huwezi kutumia nguvu ya dola kutawala raia.
CCM wamelifikisha deni la taifa ambalo kila mtanzania anadaiwa laki nane na 55,000.
Namtahadharisha Mkuu wa polisi na rpc wa Arusha nawatahadharisha kuwa wao ndiyo wanaohatarisha amani ya nchi yetu, sasa tumechoka. Polisi constebo mshahara wako haufiki hata laki tano, unatumwa na mtu anayelipwa mil 3 na shangingi una akili kweli wewe?

Polisi wamekuwa kama panya mama sharubu baba sharubu na mtoto sharubu, kila moja lwake.
Tanzania bila ccm inawezekana
 
Akitoa neno leo Arusha, kwenye mkutano wa kumtambulisha mgombea wa CHADEMA Mh Lowassa anaeungwana mkono na vyama vinavyounda UKAWA, Mgeja alimjibu Nape kwa kumalizia kusema

''Pombe mwisho kaunta, mtaani ni Lowassa''
 
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.

Mda huo kitakuwa kimerudi nyuma 1000 km kutoka magogoni, mkimaliza kujipanga Mnaanza mdogo mdogo kurudi magogoni. Mara mkutane na mabomu, huyooo 500 km zaid nyuma.
 
Masha ni hasara. Ila ndo hivyo tena.

Atafata Karamagi kesho Mwanza, then Rostamu kisha Manji afu mchezo unamalizwa na JK kumchinjia baharini makomeo....

Jamaa wamejipanga kurudi kupitia mlango wa Chadema. Aibu!!

Atafuata?Karamagi aliidha jiunga siku nne zilizopita, ni Rostam na Chenge ambao bado wanaona aibu
 
Lema:
Nasikitika Rais wetu amepokelewa na mabomu, vijana wamezuiwa.
Wanachokifanya hivi sasa ni kutengeneza mazingira ya kuiba kura kutufundisha uwoga.

Nampa taarifa IGP kuwa kama wamezoea kuua sisi tumezoea kuwa maiti.

Dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uwoga.

Polisi wanamzuia Rais wetu asishiriki msiba wa rafiki yake kwa hofu tu akienda atamfunika kikwete.

Namuahidi Rais Lowassa kuwa kura yake Haitaibiwa.

Watu wakiamini kuwa hatuwezi kushinda kwa njia ya demokrasia, watatafuta mbinu nyingine kushinda.

Usalama mwambieni Kikwete yeye sasa ni rais, lkn hii nchi siyo ya mama yake wala ya baba yake
 
chonde chonde jamani tukahakiki taarifa zetu ktk daftari la kudumu ili safari ya uhakika inoge....Timiza wajibu wako sasa wakati ni huu,dah kwa kheri dada yangu kipenzi ccm
 
Walikuwa watia nia 38 kama sikosei, 5 ndo walionekana na maadili. Lowassa umemtaja kuwa fisadi ndo maana kamati ya maadili ilimkuta na matatizo lukuki, swali langu hao wengine waliokatwa na panga la maadili na bado wapo ccm wamebadilika na maadili yamerudi?

Mkuu.

Wewe muulize wale mafisadi wa escrow waliowapitisha kugombea ubunge kina chenge ngeleja na tibaijuka wana uadilifu gani?
 
Back
Top Bottom