Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Ccm pangeni mipango yenu siku inaisha nahanngaika na lowasa-nyerere alimsaidia mkapa magufuli atasaidiwa na nani? Nape?
 
Wote wamekatwa hao.mi nasubiri mtu kama pinda au gharib,Lau masha?mizigo tu ya misumari hiyo


Hao unaowasubiri mvuto na uweledi wa kisiasa na kiutendaji wautoe wapi...? They dont have!!!
Sio credits safi zinazohitajika ktk siasa hz za mabadiliko...
 
Kama Speed ya Kukiama Chama Itakuwa Hii Hii, Sidhani Hata Octber Itafika Atakuwa Amebaki Mwenyekiti wa Taifa Tu.Hata Hivyo Nia CCM Wakae Pembeni Ili Kujisafisha
Kwa hawa wanaosubiri kukataliwa kwa ubovu na ufisadi wao ndio wahame? Itakuwa faraja kwa watanzania kama wakiondoka wote. NYAMAGANA alishindwa akakimbia sengerema wakapiga chini. Hongereni Chadema kwa kuzoa watu.
 
cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga chadema asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.

mtu akishindwa siasa hukimbilia udini-ukabila -ukanda -umkoa-nyerere
 
Mmevurugwa ccm.

Mapombe ataongoza watu waadilifu gani.?

Chenge wa escrow

Tibaijuka wa escrow

Ngeleja wa escrow wana uadilifu gan wale?

Bye bye ccm

tehe tehe tehe tehe! hawa in mafisadi sugu!!
CC: MOSSAD II
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.

tehe tehe tehe! the old song, you like it!
 
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.

Walikuwa watia nia 38 kama sikosei, 5 ndo walionekana na maadili. Lowassa umemtaja kuwa fisadi ndo maana kamati ya maadili ilimkuta na matatizo lukuki, swali langu hao wengine waliokatwa na panga la maadili na bado wapo ccm wamebadilika na maadili yamerudi?
 
hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.
Fikra mfu hizi ataunda Serikali kwa wabunge gani? je hao unaowaona sasa wanatoka watakuwa na vyeo gani huku kiuhalisia hawatakuwa wagombea na watakuwa ni wanachama wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom