Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!
Masha umejitambua, usikumbuke jinsi ulivyopoteza jimbo bali uongeze nguvu katika ukombozi.
hongereni sana wana arusha. ccm must go. mengine baadae..
Hii ya mwisho ni ukabila sasa. Nadhani wazee wa kisukuma nchi nzima watajiunga na CCM!!! HahahahahaWaliojiunga na CHADEMA leo hii Arusha ktk mkutano wa hadhara wa kumtambulisha Lowassa Chadema Arusha.
- Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
- Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
- Robinson Mwenyekiti wa uvccm Arusha
- Sioi Sumari
- Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
- Mgombea ubunge Simanjiro
- Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
- Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
Hivi huyu Masha baada ya kubwagwA kwenye kura za maoni suluhisho ndo kuhama chama?
Ha ha haaaaaa, magufuli kweli amehemewa. Na anaye muhemea kamlalia.
Mimi nina amani sana leo. Kumbe watnzania wameamuka? Mwaka huu ccm mtaiona ya moto, mkijitahidi kuiba mtapata asilimia 25. UKWA oyeeeeeeeeeee
CCM safi. Mpaka october wachafu watakuwa wemeondoka wote kwenda Chadema. Mungu saidia waende chama kiwe safi na tupate mabadiliko ya kweli.