Mbio za sakafuni hizo.
Mbio za sakafuni hizo.
Kuna watu mna akili mbovu sana,,kwani hao ulotaja siyo watz?
wana arusha wanamtaka dr slaa hawamtaki lowasa
Mkuu Bukanga ni kwamba Dr. John Joseph Pombe Magufuli, mgombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye ataibuka mshindi wa kura zitakazopigwa tarehe 25/10/2015 kama tutafika salama taarehe hiyo na uchaguzi usiahirishwe. Ya Mungu mengi kumbuka Jumbe wa CHADEMA mwaka uleeeee alisababisha kuahirishwa kwa uchaguzi.
mmeambiwa huo ni moto wa mabua, subirini kampeni zianze na watu waanze kuzungumza majukwaani ndipo moto wa mabua utakapokutana na moto wa tipper.
Mwenye macho haambiwi....
Naona CCM inajitakasa vyema sana. Dr. John Joseph Pombe Magufuli ataingia na watu safi ndani ya Ikulu, wachafu na wachafuzi wote wamejivua gamba!!We endelea kuishi kwa ramli tuuj...
Narudia kukwambia kuwa mwaka huu things will never be the same...
Hatuwezi kuletewa rais wa mfukoni...