Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA


Mambo ya let X=W

If W =1*50 then X=50

Huwezi weka hi mambo kwa watu wenye utashi na kuona, wanatumia akili na wanabadilika
 
Mafuriko ya mh Lowassa yawasomba watu wengi Arusha sasa hivi na mkutano bado unaendelea muda huu
 
Ila tu waendelee kuwa waanchama wa CHADEMA hata baada ya Tarehe 25-Octoba. Wasije wakaanza kuhama tena wakishindwa na huko.

Kweli CCM inatakata sasa make uchafuu wooote kwa CDM masrahi ..bora mjichuje wenyewe
 
Mbona wanaohamia wote majizi na walioshindwa kura za maoni?....sitegemei sioi ashindwe kumfuata baba mkwe wake.
 
Watu ni wengi sana washili ni wengi viongozi wa dini mbalimbali wamejaa uwanjani hapa asee.
 
Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!
 
Hana maana huyo jamaa, "mtu mkubwa ovyo" hasa alipokuwa wizara ya mambo ya ndani
 
Naona CCM inajitakasa vyema sana. Dr. John Joseph Pombe Magufuli ataingia na watu safi ndani ya Ikulu, wachafu na wachafuzi wote wamejivua gamba!!

Wachafu ni wepi? Taja wasafi waliobaki CCM...

Magufuli mwenyewe ni mchafu kama jalala...
 
Masha umejitambua, usikumbuke jinsi ulivyopoteza jimbo bali uongeze nguvu katika ukombozi.
 
hivi mbona hawajiungi nccr au cuf???? kuna siri nini hapo
 

Mambo ya let X=W

If W =1*50 then X=50

Huwezi weka hi mambo kwa watu wenye utashi na kuona, wanatumia akili na wanabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…