Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Sehemu kubwa Dar hakuna umeme, serikali hii inazidisha hasira kwetu.
 
aliekuwa Waziri Wa mambo ya ndani,mbunge Wa nyamagana Na mjumbe Wa NEC ajiunga rasmi UKAWA,kweli ccm kwisha habari yake
 
and who are you?


I am Wacha1, you don't know? Ati CCM imechokwa kwani jina ndio tatizo. Huyu Mwizi wa mchana kweupe katoka CCM miaka yote amekuwa mwizi mkubwa kwenye mashirika ya umma na sasa ndio aliweza kujiingiza kwenye shirika la simu na kudhoofisha TTCL leo ndio mnamuona kama mfalme wenu pathetic, what type of people are you. You act like docile donkey.
 
Last edited by a moderator:
aliekuwa Waziri Wa mambo ya ndani,mbunge Wa nyamagana Na mjumbe Wa NEC ajiunga rasmi UKAWA,kweli ccm kwisha habari yake
 
Ningekuwa Malufuli ningechukua maamuzi magumu! haaaa haaaaaa haaaaaaaaa!!!
 
Chadema wamegeuka kama wendawazimu wameamua kuwakumbatia Mafisadi. EL atakuwa rais wa Chadema na sio Tanzania. Chadema wamegeuka jiwe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ni hatari sana kupanic kwenye mafuriko yenye kina kirefu namna hii,.
Utazama stay sober wewe.😀
 
'kwenye msafara wa mamba mpaka kenge, mijusi hadi nyungunyungu huwa hawakosekani mkuu...!'
 
UKAWA.....ukawa....ukawa....ukawa.....kila kona ukawa,Magazetini ukawa,radioni...ukawa.....facebook....ukawa.....twiter...ukawa....ila kwenye sanduku la mpiga kura....ni... ccm...
 
Mafuriko ya Mh.Lowasa leo yapo Arusha,mji umesimama!!

Kwa nini wasiahirishe uchaguzi tukubariane na utabiri wa TB Joshua na kwamba mtu ka-win the majority kuepuka gharama za uchaguzi ili yule mzee aende Ikulu, maana atashinda by any means.
 
Back
Top Bottom