goChilongan
Member
- Jun 29, 2015
- 13
- 3
sipati picha 25/10/2015 atakavyotangazwa asibuhi kweipe
and who are you?
CCM lazima ife. Wapumbavu sana!
Chadema wamegeuka kama wendawazimu wameamua kuwakumbatia Mafisadi. EL atakuwa rais wa Chadema na sio Tanzania. Chadema wamegeuka jiwe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
KANU ilifia mikononi mwa Arap Moi naiona CCM ikifia mikononi mwa Vasco da Gama.
Kwenye msafara wa mamba mpaka kenge, mijusi hadi nyungunyungu huwa hawakosekani mkuu...!.
Mafuriko ya Mh.Lowasa leo yapo Arusha,mji umesimama!!