Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Kwa nilivyochoka leo hata siogi nalala hivyo hivyo na vumbi langu kesho ndo ntafanya mchakato wa kupiga maji.
 
Mkuu naona unajitahidi kupambania chama lako. hongera kwa kutekeleza wajibu wako

Buku 7 at work!
asikupe shida unajua hata matatizo ya ndani ya nyumba wanaonaga majirani waliopo ndani huwa wanaona sawa tu!
 
Una ukimwi unajipa moyo utapona..?

Magufuli unasema msafiii....? Wee Warthog kweli...!!!! 
Afadhali manake huyu jamaa leo sijui kanywa maji ya nini amejaa matusi hadi kidoleni. Nilidhani Mods wapo likizo kumbe wapo
 
Nilikuwa bize na kazi sikuona hii kitu.

Ccm imekufa nikiona.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Edward Ngoyai Lowassa.
 

Pigeni Sana kelele ila kura tunaiba mchana kweupe na msukuma atakuwa ikulu....

For yo info:

Nape hakuropoka kuwa Goli la mkono lipo kwa kubuni....Lipo na lishaandaliwa...

Pepo mwenyewe . . mshssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…