Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

CCM hamjui hesabu kabisa !sio kila atakae hamia chadema atapewa nafasi ya kuongoza lkn hao watakiwa wapiga kula ili tukiangamize ccm :kwa hesabu ya haraka mtu mmoja akiamia chadema akawa kashawishi ndugu wa kalibu na familia yake plus mafiki zake = 1×50=50
je ktk jimbo wakihama watu 100 jumla itakuwa 5000

je kwa nchi nzima ?

Hii hesabu umesomea juu ya mpapai eeh ..?

Ndoto zinginee !! Kwi kwi kwi!
 
Kama kuna mtu anaendelea kuifanya shingo yake ngumu kwamba kwa umati huo wote ni walevi wa viroba na bangi basi atashuhudia jumapili ya tarehe 25 oktoba ikivunjika.
 
​
To me that is positive na ndio mabadiliko tunayotaka. Maana ni wazi kuwa ufisadi ndiyo uliofikisha taifa ili hapa. CCM walitakiwa wauepuke kama chama zamani sana. ILA chadema kuukumbatia sasa hivi ndiyo mbaya zaidi. That is why we say ccm is becoming better without them in comprison to Chadema with them.

Hivi samahani lakini. Una compare nini hapo? Mpaka ukapata kuwa ccm is better? Pamoja na EL kutoka kwa kashfa ya ufisadi ni nini kiliendelea? Waliobaki wasafi? Nyumba za serikali alizozichukua makomeo na kuigawia familia yake mbona unajisahaulisha mapema hivi? Hivi ufisadi ni pale mtu anapokuwa hayumo ccm au? Mzèe wa vijisenti, mama wa mboga, mawaziri wetu wa nishati wanaogeuzwa vibaraka vya kulinda watu wakipora rasilimali za nchi, mawaziri wa maliasili, n.k wao hawaonekani kwa vile wamefunikwa na bendera ya ccm? Rada, ndege ya rais, mikataba mibovu ya madini inayolitafuna taifa. Wizi wa twiga na tembo ni Lowasa tu au mna linguine? Sina nia mbaya na wale wenzangu na mimi tunaotegemea ajira toka ccm ili maisha yasonge. Lakini enough is enough Tanzania ya Leo sio ya mwaka 1947.
 
Mwaka huu lazima tuwaondoe hawa wakoloni weusi wametunyonya sana,cha muhimu tutunze vitambulisho vyetu
 
Pigeni Sana kelele ila kura tunaiba mchana kweupe na msukuma atakuwa ikulu....

For yo info:

Nape hakuropoka kuwa Goli la mkono lipo kwa kubuni....Lipo na lishaandaliwa...

Pepo mwenyewe . . mshssss
Goli la mkono halitakuwepo maana siku hiyo mabafu yote yatafungwa
 
Sasa huyu Masha kwanza ashukuru sana JK kumbeba alikwa mbunge Nyamagana kashindwa na Wenje, akakimbilia Sengerema kapigwa chini kura za maoni.

Sasa anataka ubunge kupitia Chadema, hawa kati ya mawaziri waliomungusha sana JK.

Anataka kila sehemu JK ambembe bora akapumzike Chadema.
Sas inajidhihirisha wazi ni akina nani walikuwa wakiihujumu serikali ya JK. Kumbe baada ya EL kujiuzulu alibakisha mamluki ambao kazi yao ilikuwa ni kuihujumu serikali. Sasa wamejidhihirisha, CCM kama Chama inabaki safi bila aina yoyote ya Mamluki.
 
Ha ha haa! CCM ibaki safi huku Mwenyekiti wake ndiye Jemadari Mkuu wa mafisadi. Kimbunga, hivi ni kweli wewe ni mtupu kiasi hicho, unatia huruma, unatia aibu, unatia kinyaa. Nchi hii haina maraisi wawili, inaye raisi moja tu naye ni Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Chama cha Mafisadi.

Remember, kwa wastaarabu, the buck stops with the President na kwa Tanzania kumbuka Kikwete alivyojitapa mwaka 2005 alipoingia madarakani kwa wizi, kwamba hatakuwa na ubia kwenye Uraisi. Utake usitake, Lowassa kahama...kauvua UCCM, kavua magamba, kahama kambi na kuachana na genge la wezi.
 
kajivua gamba kaachana na genge la wezi lipi wakati kaondoka nalo mguu kwa mguu?
 
​

Hivi samahani lakini. Una compare nini hapo? Mpaka ukapata kuwa ccm is better? Pamoja na EL kutoka kwa kashfa ya ufisadi ni nini kiliendelea? Waliobaki wasafi? Nyumba za serikali alizozichukua makomeo na kuigawia familia yake mbona unajisahaulisha mapema hivi? Hivi ufisadi ni pale mtu anapokuwa hayumo ccm au? Mzèe wa vijisenti, mama wa mboga, mawaziri wetu wa nishati wanaogeuzwa vibaraka vya kulinda watu wakipora rasilimali za nchi, mawaziri wa maliasili, n.k wao hawaonekani kwa vile wamefunikwa na bendera ya ccm? Rada, ndege ya rais, mikataba mibovu ya madini inayolitafuna taifa. Wizi wa twiga na tembo ni Lowasa tu au mna linguine? Sina nia mbaya na wale wenzangu na mimi tunaotegemea ajira toka ccm ili maisha yasonge. Lakini enough is enough Tanzania ya Leo sio ya mwaka 1947.

You have said it all. Serikali iliyopita ya JK na EL ilikuwa imeoza. Hao wote uliowataja ndio wako nyuma ya EL with proof. Ndio tunapata shida kuona itakuwaje EL akipata. Ina maana hao kama tunavyoona watarudi tena kushika usukani wa kupiga nchi? Tukiwaona wasio kwenye timu ya EL walioko ccm tunawaona kuwa safi. SIJUI kwa nini unaona mtu kumuuzia mty nyumba kwa utaratibu uliokubalika ni ufisadi wa kulinganishwa na richmond, aicc, ardhi, Tanesco etc. NAJUA hatashinda lakini ingewezekana tungejaribu kuonja hiyo sumu ya EL uone kama tungepona.
 
Arusha tumewafunika mbeya .
POMBE MWISHO KAUNTA MTAANI LOWASA.
 
Mungu atasikia kilio cha Watanzania Wanyonge kwa miaka 50 ya CCM Mkombozi Wa Wanyonge ni LOWASSA .Semeni ngonjela zetu kina Nape mtalala mafuriko no makubwa
 
Back
Top Bottom