CCM hamjui hesabu kabisa !sio kila atakae hamia chadema atapewa nafasi ya kuongoza lkn hao watakiwa wapiga kula ili tukiangamize ccm :kwa hesabu ya haraka mtu mmoja akiamia chadema akawa kashawishi ndugu wa kalibu na familia yake plus mafiki zake = 1×50=50
je ktk jimbo wakihama watu 100 jumla itakuwa 5000
je kwa nchi nzima ?
Kwa nilivyochoka leo hata siogi nalala hivyo hivyo na vumbi langu kesho ndo ntafanya mchakato wa kupiga maji.
TBC : tutatoa nafasi sawa kwa vyama vyote vya siasa
kitakachoiokoa ccm ni utendaji wa magufuli.
Hee wewe Jiografia imekaaje kwani Mbeya hukuona? nako kaskazi?ha ha ha!bora kutokuwa mshabiki wa mwanasiasa.watu wa kanda ya kaskazin kwa ujiko,hatar!mwaka huu lowasa akishndwa mtajinyonga..!
To me that is positive na ndio mabadiliko tunayotaka. Maana ni wazi kuwa ufisadi ndiyo uliofikisha taifa ili hapa. CCM walitakiwa wauepuke kama chama zamani sana. ILA chadema kuukumbatia sasa hivi ndiyo mbaya zaidi. That is why we say ccm is becoming better without them in comprison to Chadema with them.
Goli la mkono halitakuwepo maana siku hiyo mabafu yote yatafungwaPigeni Sana kelele ila kura tunaiba mchana kweupe na msukuma atakuwa ikulu....
For yo info:
Nape hakuropoka kuwa Goli la mkono lipo kwa kubuni....Lipo na lishaandaliwa...
Pepo mwenyewe . . mshssss
Atafuata?Karamagi aliidha jiunga siku nne zilizopita, ni Rostam na Chenge ambao bado wanaona aibu
Mushana kuna nini wengine tunakuwa hatupo kwenye TV
Wamekata umeme tangu alfajiri na ninahisi utarudi kesho jioni.
Tusaidie mkuu!
Wengine tuko safarini! Kunani?
Sas inajidhihirisha wazi ni akina nani walikuwa wakiihujumu serikali ya JK. Kumbe baada ya EL kujiuzulu alibakisha mamluki ambao kazi yao ilikuwa ni kuihujumu serikali. Sasa wamejidhihirisha, CCM kama Chama inabaki safi bila aina yoyote ya Mamluki.Sasa huyu Masha kwanza ashukuru sana JK kumbeba alikwa mbunge Nyamagana kashindwa na Wenje, akakimbilia Sengerema kapigwa chini kura za maoni.
Sasa anataka ubunge kupitia Chadema, hawa kati ya mawaziri waliomungusha sana JK.
Anataka kila sehemu JK ambembe bora akapumzike Chadema.
Ha ha haa! CCM ibaki safi huku Mwenyekiti wake ndiye Jemadari Mkuu wa mafisadi. Kimbunga, hivi ni kweli wewe ni mtupu kiasi hicho, unatia huruma, unatia aibu, unatia kinyaa. Nchi hii haina maraisi wawili, inaye raisi moja tu naye ni Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Chama cha Mafisadi.Sas inajidhihirisha wazi ni akina nani walikuwa wakiihujumu serikali ya JK. Kumbe baada ya EL kujiuzulu alibakisha mamluki ambao kazi yao ilikuwa ni kuihujumu serikali. Sasa wamejidhihirisha, CCM kama Chama inabaki safi bila aina yoyote ya Mamluki.
Ha ha haa! CCM ibaki safi huku Mwenyekiti wake ndiye Jemadari Mkuu wa mafisadi. Kimbunga, hivi ni kweli wewe ni mtupu kiasi hicho, unatia huruma, unatia aibu, unatia kinyaa. Nchi hii haina maraisi wawili, inaye raisi moja tu naye ni Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Chama cha Mafisadi.
Remember, kwa wastaarabu, the buck stops with the President na kwa Tanzania kumbuka Kikwete alivyojitapa mwaka 2005 alipoingia madarakani kwa wizi, kwamba hatakuwa na ubia kwenye Uraisi. Utake usitake, Lowassa kahama...kauvua UCCM, kavua magamba, kahama kambi na kuachana na genge la wezi.
​
Hivi samahani lakini. Una compare nini hapo? Mpaka ukapata kuwa ccm is better? Pamoja na EL kutoka kwa kashfa ya ufisadi ni nini kiliendelea? Waliobaki wasafi? Nyumba za serikali alizozichukua makomeo na kuigawia familia yake mbona unajisahaulisha mapema hivi? Hivi ufisadi ni pale mtu anapokuwa hayumo ccm au? Mzèe wa vijisenti, mama wa mboga, mawaziri wetu wa nishati wanaogeuzwa vibaraka vya kulinda watu wakipora rasilimali za nchi, mawaziri wa maliasili, n.k wao hawaonekani kwa vile wamefunikwa na bendera ya ccm? Rada, ndege ya rais, mikataba mibovu ya madini inayolitafuna taifa. Wizi wa twiga na tembo ni Lowasa tu au mna linguine? Sina nia mbaya na wale wenzangu na mimi tunaotegemea ajira toka ccm ili maisha yasonge. Lakini enough is enough Tanzania ya Leo sio ya mwaka 1947.