Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Mwanakijiji,
Unadhani hawa watu wameteuliwa kwa sifa gani walizonazo? Mimi nadhani udini.

1.Omar Ramadhan Mapuri (China)
2.Adadi Rajabu (Zimbabwe)
3.Mwanaidi Sinare Maajar (London-Uingereza)
4.Ahamada Ngemera (Berlin-Ujerumani)
5.Hussein Said Khatib (Muscat-Oman)

weka pichaa mkuu..
 
Kwanini baregu safari marando mdee tundu lissu na mnyika hawafuatani na lowasa? hata mbatia naona kama analazimisha tu. It seems lowasa ana team yake tofauti na team ya chadema.

Mgawanyo wa majukumu.
Mtakohoa damu mwaka huu
 
We pumba kabisa unakanyaga brake kama unakanyaga maishine ya Unga???? Wacha gari bana.... Ahahahahahaha
 
Updates za leo zinaniangusha sana yaani nilichotegemea, sio! Maelezo ni mengi mno, lakini picha zinarudiwa zilezile, :big up kwa wana mbeya kwa updates nzuri siku ya jana.
Sure, but let us wait a bit. Halafu mleta mada mambo ya kuanzisha uzi saa tisa usiku then unasepa, SIO.
 

Attachments

  • 1439638011027.jpg
    1439638011027.jpg
    32.8 KB · Views: 846
Back
Top Bottom