UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Paragraph ya mwisho tu ndio nimeielewa mkuu,haaaa
Ila kama hujaona uzito wa wafanya maamuzi yaani wanasiasa walioshikilia mpini kwenye hili tutasubili sana na mambo yataendelea hivi hivi
Binafsi ningekuwa mkubwa kuanzia level ya katibu mkuu,waziri and above jambbo la kwanza kulishikia bango lingekuwa la kuunda mamlaka au tume ya ardhi na mipango miji ili kupata fedha na kudhibiti ujenzi holela hii ya kuwaachia serikali za mitaa imeshashindwa kitambo
Ukimwangalia mkuu wa mkoa wa Dar unaweza dhani viongozi ndio wanavyofanya kazi kwa kujiamulia tu.

Kama unatazama video za ziara za Magu utaona serikari inavyofanya kazi. Akiona mkuu wa wilaya anasua sua na majibu next mkurugenzi na yeye akishindwa anaenda kwa wataalamu husika iwe engineer wa maji, TANROAD, etc kutoa ufafanuzi kuhusu maswala husika.

Halafu baada ya hapo akiamua anawarudia kuwaponda mkurugenzi na mkuu wa wilaya kwa kutokuwa updated na shughuli zao.

Maana yake nini wakuu wa wilaya na hata mawaziri kwenye maamuzi wanategemea ushauri wa wataalamu, ivyo ndio serikari zinavyoendeshwa duniani katika nafasi za utendaji.

Sasa mkuu wa wilaya au mkoa asielewa impact za river erosion, soil saturation, umuhimu wa kuta za mito mjini, uelewa wa maswala flow rates etc to do with physical geography risk aversion na engineering sehemu za makazi atachukua maamuzi gani ya kinga. Anaweza pita sehemu inayohitaji attention asijue mpaka madhara yanapotokea.

Hapo ndio wataalamu wanapoingia kama engineers, jamaa wa mipango miji, environment; etc with government experts.
 
Sorry nimekupata sasa. Unamaanisha Rais mwenyewe. Uko sawa. Lakiki kumbuka kuwa Rais haja chukua PHD ya Civil Engineering. Ana PHD ya Chemestry kama sijakosea. Kwa hiyo sidhani kama matumizi ya Hooke's Law kwenye Material science anayajua vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Hooks law F=ke, Modulars of rigidity, vicious flow, ma moment of force, ma angular motion na yale ma omega, angular momentum na "resultant forces za vicious flow given their weight na matokeo kwe kingo za daraja na supporting structures" naamin wengi tusio wahandisi japo twaweza fikiri, ila watabe wa CEBE na MECHE,ARU na kwingne watatumia derivative za multvariables kutupa suluhu , tusiwabeze wasomi wetu wana weledi mkubwa pia, saluhu nynnge za kihandisi zahitaj pesa za kutosha
 
Hivi ndivyo zinavyoandika nchi kadhaa Ulaya zinapambana na athari za mafuriko. Zipo France, Italy, UK! Lakini sikiza wapinzani wetu! Kwao mafuriko hayapaswi kutokea! Na yakitokea lazima serikali imekosea!

Nadhani wamesahau Hurricane Katrina na Sally kule Marekani. Sijui nayo Marekani Obama na Bush walikosea nini?
Kikosi cha IPCC (Intergovernmental Panel on Climate Change) kinasema hivi: kutokana na mabadiliko tabia nchi mafuriko hayaepukiki kwa takribani miaka 100 ijayo.

Niwaelimishe kina Zitto: kuna nchi ambazo mafuriko ni sehemu ya maisha Yao ya kila siku! Kina Tonga, Vanuatu, Kiribati, Tuvalu, Cooks, Marshall Islands! Nyumba zimejengwa juu ya matendegu! Nao tuseme Serikali zao ni zembe!
Tatizo mtu akishakaa saana Kigoma Ujiji anadhani mafuriko ni mpaka yatokee ziwa Tanganyika!

Elimu kidogo tu: mafuriko Yana hasara na faida. Jaribuni kujifunza na faida za mafuriko pengine mtaomba yaongezeke!
Kina Zitto mnatudhihirishia kiwango chenu cha uelewa ni cha chini mno!
Niwape pole waliopata hasara na pongezi waliopata faida!
 
Shida yetu watanzania niwajuaji mno hakuna kitu hatujui saiz humu kila mtu n engineer wa mitaro ya maji.

Uzi unasema n updates za athar za mvua humu watu wanaanza kujadili athari za mvua.

Alafu watu wa dar msijisahaulishe hii n vuli tuu bado masika haijafika Kwan mvua zasasa n kubwa mno kuzid kipimo kutojana na athari za climate change kidunia hvyo dar haipo salama maña dar es salaam ndio njia kuu yakupeleka maji baharini kutoka morogoro, iringa na pwani pia ukiona maji yanapita jua hapo ndio bonden Zaid hvyo dar in 2020 March to may sio sehemu salama pa kuishi huko tafuta alternative mapema either upoteze vyote ulivyonavyo au uvizuie kupotea vyote ulivyonavyo
 
Mafuriko kweli ni janga la asili kama ilivyo majanga mengine, namna ya kukabiliana nayo au kupunguza athari zake ndy tunaonekana wazemba kama Taifa.
 
Ina maana miaka ya 60 na sabini mvua zilikuwa hazinyeshi? Nenda baharini kote uone walivyoziba njia na mtiririko wa maji kwa uchu wa kupata ardhi. Na je Msimbazi kulikuwa na haja ya kujenga kitu pale? Lile ni bonde linalopitisha maji, ilibidi lbaki wazi lakini wajuaji wakajenga mpaka vituo vya mwendo kasi! Bukoba mvua huwa zinanyesha miaka yote. Mjini kuna shida sababu ya kuharibu miundo mbinu lakini vijijini mvua zikikata saa nane watu wanatembea sababu mito haijaingiliwa wala hakuna aliyejenga kwenye mapitio ya maji.
 
Why blame CHADEMA on this?
CCM ndio wenye nchi na kwene Uchaguzi wa SM wamejichagua wenyewe ili WAHUDUMIE WANYONGE…!
Bashite ndo M/kiti ulinzi na Usalama Jiji la Dar…where's he?
Achana na huyu jamaa,muda mwingine huwa siyo yeye.

Maana haiwezekani mtu timamu ushindwe kufaham nani anapashwa kuwa " on top" kwenye majanga kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa wanadeni letu la upepo mkali ambao mpaka leo hatujauona.
 
Tunaposema kuwa Dar es salaam ni jijila la ovyo sana kuna watu mapovu yanawatoka kama yote. Jana mvua iliyonyesha ni ya kawaida sana ila nchi nzima imejua kuwa mvua imenyesha dar es salaam. Hivi mvua zinazonyesha huko mikoani kama mwanza , tanga na tarime zikishuka dar es salaam mji mzima utatitia huu.. ovyo kabisaa.
 
aldeo, Acha uzushi wewe Morogoro ya wapi? Hii ni map ya bonde la Msimbazi na ducts zake zinazo wasumbua wa Bongo.

Makonda alieleza hivi juzi juzi alipo kuwa akizungumza na viongozi wa dini kuhusu plan ya serikali kuu ya hilo Bonde la Msimbazi na ducts zake zinazo izunguka hilo bonde.

Hilo Bonde litachimbwa na kuwa usawa na Bahari mpaka Surrender Bridge. Na watu watakuwa wana tumia hilo eneo kama Free Park. Watu watakuwa wanaenda na maboti mpaka Baharini kupitia Surrender Bridge. In short itakuwa sehemu ya Tourists attraction alisema. Na hiyo mito itafanyiwa kazi na maji taka yanayo letwa na hiyo mito yata safishwa na kutumika kwenye umwagiliaji miti na bustani kwenye jiji la DSM nakadhalika.
Bonde%20la%20Msimbazi.PNG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
areafiftyone, Nakushukuru mkuu kwa kunijuza.

Ni kweli nimetoa povu kweli kweli, hii imesababishwa na kukereka kwa kiasi kikubwa kuona kwamba wananchi masikini wanajitahidi kwa kidogo walicho nacho kuwa saidia nyie wakufunzi wa elimu ya civil Engineering mhitimu shahada zenu ili hatimaye mje kusaidia kujenga Taifa letu kwa kuwarahisishia wananchi masikini maisha yao kwa kuweka miundo mbinu iwe mahiri.

Lakini matokeo wanayo yapata watu hao masikini kwa jitihada zao zote hizo, is a kick on a buttock. Wahenga walisema; "Fadhila za punda ni mateke". Badala ya kujenga mna bomoa. Sasa hii maana yake ni nini?

Kama kweli ni awamu hii tu kumekuwa na nia ya kweli ya kuwasaidia Watanzania katika matatizo yao, ikiwa ni pamoja na eneo la miundo mbinu ya maji safi na taka, sasa haya matatizo ya mafuriko tunayo yaona mnashindwa nini kukabilina nayo?

Na kama tenda za miradi katika awamu zilizopita zilikuwa zinatolewa kwa upendeleo na hata kampuni isiyokuwa na weledi ilikuwa inapata tenda, na kulingana na kauli yako, kuathiri sana ubora wa miradi, sasa mbona nyie hamkuweza ku take appropriate measures in oder to make people aware of this kind of feudalism, kiasi kwamba wananchi wakaungana mkono na nyie katika kumshauri Rais wa wakati huo kuchukua hatua stahiki kukomesha ulaini huo?

A can only hope that siku za mbele mtakuwa mmejifunza kuchukua hatua zinastahili ili kurahisisha ufanis wa kazi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu awamu ya tatu na nne zilikuwa mbali na wataalamu kiasi kwamba naamini wataalamu wote felt useless.Ungemshauri nini Mkapa au Kikwete,walikuwepo washauri who mattered,washauri of the inner circle,washauri ambao walikuwa wanasiasa,washauri ambao infact hawakuwa wataalamu.Utaalamu ulikuwa politicized,ulionekana kama kikwazo katika ulaji.No wonder wataalamu nao mwishoni waliona ni upuuzi na sisi tunakula.Wasiokuwa na mahali pa kula wakakaa pembeni,mwisho wa mwezi wakawa wanakwenda kukinga!Eti wataalamu, to hell with your utaalamu,I believe that is what they felt.Tulifika pabaya sana.Ilifika mahali wengi wakasema elimu ya darasani haina maana!

Magufuli is another species altogether mkuu. Wataalamu sasa wana value na wanatumika ipasavyo,akina Professor Palamagamba Kabudi,Prof.Florens Luoga,Governor wa Bank Kuu na wengine wengi.Hongera sana Rais wetu Magufuli.
 
Hizo ni ndoto za alinacha
aldeo, Acha uzushi wewe Morogoro ya wapi? Hii ni map ya bonde la Msimbazi na ducts zake zinazo wasumbua wa Bongo.

Makonda alieleza hivi juzi juzi alipo kuwa akizungumza na viongozi wa dini kuhusu plan ya serikali kuu ya hilo Bonde la Msimbazi na ducts zake zinazo izunguka hilo bonde.

Hilo Bonde litachimbwa na kuwa usawa na Bahari mpaka Surrender Bridge. Na watu watakuwa wana tumia hilo eneo kama Free Park. Watu watakuwa wanaenda na maboti mpaka Baharini kupitia Surrender Bridge. In short itakuwa sehemu ya Tourists attraction alisema. Na hiyo mito itafanyiwa kazi na maji taka yanayo letwa na hiyo mito yata safishwa na kutumika kwenye umwagiliaji miti na bustani kwenye jiji la DSM nakadhalika.
View attachment 1296184

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Disemba 18 ametembelea na kukagua mi....bonyeza linki[emoji116][emoji116] kwa habari kamili

View attachment 1296605

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno la kukagua ni pana sana, sema alikuwa anaangalia athari
 
Back
Top Bottom