UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Joto lilizidi kwa wiki kadhaa, kabla ya hapo ulianza upepo ukapiga balaa, ikafumuka mvua, ikaja baridi kali, likaja babalao kama kawa joto la kibabe sasa imetibuka tena. Kweli Dunia inakwenda kasi sana, kiufupi majira hayaeleweki!

Hapa kanda ya ziwa kuna mvua el-nino cha mtoto. TMA veeepeee? Dish halisomi au?
 
jana tumetoa tahadhari au hukuisoma? nenda kwenye website yetu
 
Apo umekosa kitu kimoja tu,najua ushakielewa haha

Kituz... Ile kitu ilee... Wadada wanapigana Kwa ajili ya ile kitu ile.... Watu wanafumaniana sababu ya ile kitu ile....

Ile namesa mwensie ...... Baba yeyoo najua ni kitu ipi.....
 
Back
Top Bottom