pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Pameshafungwa muda huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeee, wacha weee! Kwa raha zako? Salaam zao
Ulisema upo single na huwa unatumia kibomba na tango kufanya yako nakutakia kila lakheri
Wazungu hao juu Ya mlima KilimanjaroTango leo ndo litahusika, naliweka kwenye microwave kidoogoo linapata jotojoto, nalimassage na mafuta ya massage basiii....
Kifuatacho ITV .......
Morogoro mvua kama yote mkuu,labda huko mkoani kwako!Ile eka yangu ya mahindi niliyopanda kwa kujaribu naona nikila mahindi baada ya wiki moja dah,Mungu anipe nini.
hameni,
Kwani tz ni Sinza pekee! mbona huku kwetu wilayani lami ni kila sehemu!
Hata ubungo ni kama sinza! labda kwa sababu ya ujenzi!!Kwani tz ni Sinza pekee! mbona huku kwetu wilayani lami ni kila sehemu!
Sasa hivi bado wamelala ila wakiamka tu utasikia wanatoa tahadhari kua mvua inatoka kusini mashariki kuelekea kaskazini magharibi kwa kasi ya kilo tatu na nusu kwa saa, pia bahari ikakua na mawimbi madogo madogo pamoja na ngurumo za radi kwa ukanda wa kilwa kivinje.Joto lilizidi kwa wiki kadhaa, kabla ya hapo ulianza upepo ukapiga balaa, ikafumuka mvua, ikaja baridi kali, likaja babalao kama kawa joto la kibabe sasa imetibuka tena. Kweli Dunia inakwenda kasi sana, kiufupi majira hayaeleweki!
Hapa kanda ya ziwa kuna mvua el-nino cha mtoto. TMA veeepeee? Dish halisomi au?
RADINdio ww hiii radi haifai utafkiri sijui nn kinaanguka sijahi skia ya namna hiii
Wiki mbili zilizopita ilinysha mvua kubwa sana, huko Kivule radi iliua watu watatu na ng'ombe kadhaa. Wengine wengi vifaa vyao vya electronic viliunguzwa.Habari za asubuhi wadau, maeneo ya Mbagala kuna mvua kubwa sana yenye radi inanyesha tangu majira ya saa 12 asubuhi hadi muda huu, radi ni za nguvu hadi ardhi inatetema, tuombe Mungu isilete madhara.
Sent using Jamii Forums mobile app