UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Nimetoka dodoma sio kwa mvua ile
Maeneo mengi yamejaamaji sema kule ni porini hakuna wa kuriport
Ila ile reli ni kama limepita juu ya ziwa
 
Sasa hivi bado wamelala ila wakiamka tu utasikia wanatoa tahadhari kua mvua inatoka kusini mashariki kuelekea kaskazini magharibi kwa kasi ya kilo tatu kwa saa, pia bahari ikakua na mawimbi madogo madogo pamoja na ngurumo za radi kwa ukanda wa kilwa kivinje.

TMA walishatoa taarifa mapema acheni uzushi....ikatajwa na mikoa Kadhaa ambayo itaathirika na nvua kubwa DAR ikiwemo...
 
Back
Top Bottom