UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Aseee madogoolai wa darfreemarkeee... ni mawaru kinyama,ety haka ka mngurumo Kama rara za mromboni wana kah,anya kiajee!?hebu tokeni mkapambanie kombe acheni uwaki aseee....🤪🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Tango leo ndo litahusika, naliweka kwenye microwave kidoogoo linapata jotojoto, nalimassage na mafuta ya massage basiii....

Kifuatacho ITV .......

Kwanini uteseke vile..? [emoji848]

Ila we mmama ni mjinga sana, picha iko wapi sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watu mnaoishi Dar mnaogopa Radi!
Siku mkitembelea Kigoma, Tabora na Kagera mkikutana na radi za huko si mtaachia maushuzi mfululizo!!!
 
Hali hii tangu juzi CCN Weather wameitangaza itapiga mpaka Tanzania

Lakini mamlaka ya hali ya hewa nchini wapo kimyaa kama mimi hapa...

Hii itapiga hadi kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali hii tangu juzi CCN Weather wameitangaza itapiga mpaka Tanzania

Lakini mamlaka ya hali ya hewa nchini wapo kimyaa kama mimi hapa...

Hii itapiga hadi kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabibo Sokoni
IMG-20191217-WA0017.jpg
IMG-20191217-WA0021.jpg
IMG-20191217-WA0019.jpg
IMG-20191217-WA0018.jpg
 
Sasa hivi bado wamelala ila wakiamka tu utasikia wanatoa tahadhari kua mvua inatoka kusini mashariki kuelekea kaskazini magharibi kwa kasi ya kilo tatu kwa saa, pia bahari ikakua na mawimbi madogo madogo pamoja na ngurumo za radi kwa ukanda wa kilwa kivinje.
Hawa jamaa, noma sana. Walivuma sana vuvuu vuvvuuuu, sasa kimyaaaaa!
 
Huwa najiulliza hivi siku nvua ikiamua kunyesha heavily masaa 12 je itakuawje toba yarabi na jiji letu hili

Miaka ya 90 niliwahi kuishi migo migo - siku kama ya leo basi ni tapisha tapisha vyoo for free.....ha ha ha
 
Nyaishozi madimbwi yalikuwa yamekauka kabisa ila mvua ya leo tu madimbwi yote yamejaa maji tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nyaishozi hizo barabara za mtaani huwa hazifai. Yaani kuna mashimo sipati picha.
Maana hata gari huwa zinashindwa kupita hasa saloon.
Wamejaa vibopa hapo, kujaza vifusi wanasubiri serikali 😀.
 
DAR MVUA YAWA TISHIO.

Maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam yamefurika maji huku mvua zikiendelea kunyesha:-

1. Jangwani.. Kutokea fire to magomeni na magomeni to fire. Imefungwa.

2. Jangwani kwa nyuma kutokea Kariakoo to kigogo imejaa Maji.

3. Umoja wa mataifa. Kutokea Almuntazir mpaka muhimbili primary kumajaa Maji.

4. Scout upanga barabara ya malik pamejaa maji kuja junction ya muhimbili

5. Barabara ya Fire hapa ktk hospital ya Regency pamejaa Maji

6. Kamata ktk barabara ya nyerere ktk fly over ya treni pamejaa Maji

7. Kamata kutokea kariakoo kuja barabara ya nyerere pamejaa Maji.

8. Waterfront hapa kuja central police pamejaa Maji

9. Barabara ya Mwamnyange kuingia main road ya Whitesand pamejaa.

10. Barabara ya whitesand kwenda round about ya whitesand hali si shwari

11. Basihaya kwenda Nyaishozi ni shida tupu.

12. Junction ya barabara ya gonna ktk Mataa Maji yamejaa

13. Mbozi road Chang'ombe maji yamefurika.

14. Junction ya hapa kwa sokota napo pamejaa maji pia.

15. Sinza Legho darajani hapa pamejaa maji pia

Je tukipatiwa msaada wa helkopita au bombardier zitatuokoa?
FB_IMG_1576570437670.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom