Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Nyaishozi madimbwi yalikuwa yamekauka kabisa ila mvua ya leo tu madimbwi yote yamejaa maji tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tango leo ndo litahusika, naliweka kwenye microwave kidoogoo linapata jotojoto, nalimassage na mafuta ya massage basiii....
Kifuatacho ITV .......
Hata mimi nimebakia kuchekaWanaume wa Dar waoga Sana..wanaogopa Hadi radi
Hahaaa, safari hii wazungu wanatokea bondeni ….Sijui umenielewa?Wazungu hao juu Ya mlima Kilimanjaro
Hawa jamaa, noma sana. Walivuma sana vuvuu vuvvuuuu, sasa kimyaaaaa!Sasa hivi bado wamelala ila wakiamka tu utasikia wanatoa tahadhari kua mvua inatoka kusini mashariki kuelekea kaskazini magharibi kwa kasi ya kilo tatu kwa saa, pia bahari ikakua na mawimbi madogo madogo pamoja na ngurumo za radi kwa ukanda wa kilwa kivinje.
Hapo nyaishozi hizo barabara za mtaani huwa hazifai. Yaani kuna mashimo sipati picha.Nyaishozi madimbwi yalikuwa yamekauka kabisa ila mvua ya leo tu madimbwi yote yamejaa maji tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Isinyeshe huko nimekiacha kibanda changu nimetokomea mkoani kitasombwa na maji bureHuwezi amini kibaha huku kukavu.. Tunaona giza tuu na mirindimo ya radi kwa mbaali sijui itashuka saa ngapi!??
Sent using Jamii Forums mobile app