Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Radi kidogo tu mnalialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si useme mbagala ipi nije banaa...Mbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.
Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
Mkuu kumbe ni jirani.angalao kwa sasa imenyesha kidogo.Bunju huku hakuna hata dalili ya mvua
Hapo nyaishozi hizo barabara za mtaani huwa hazifai. Yaani kuna mashimo sipati picha.
Maana hata gari huwa zinashindwa kupita hasa saloon.
Wamejaa vibopa hapo, kujaza vifusi wanasubiri serikali [emoji3].
Embu acha ujinga wewe...kuna mafuriko unaongea upuuzi.Vipi waliopo karibu na ufipa
Jengo letu lipo salama?
Natabiri uzi wako utaungwa na ule unao trend.
Sijui lakini kama wenyewe JamiiForums wataucha hapa.
Embu acha ujinga wewe...kuna mafuriko unaongea upuuzi.
Kijana kama huyu ni sikitiko kwa wazazi wake.
Kuna mzee wangu yuko maeneo hayo ana premio na harrier. Yaani ikiwa ile premio kwake hapo tu lakini huwa anazunguka mno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni shida kwa kweli,, sema si unajua huku wengi wana macruiser na marover kwahiyo wao ili mradi magari yao ni kambi popote ninyi wengine wenye viist na vipasso mtajibeba wao hiyo haiwahusu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzee wangu yuko maeneo hayo ana premio na harrier. Yaani ikiwa ile premio kwake hapo tu lakini huwa anazunguka mno.
Nikamuuliza mbona madimbwi sio mengi si mjichange tu myajaze. Anasema kila mtu anamtegea mwenzie nani aanze[emoji3]
Watanzania sio wafuatiliaji tu, hizi mvua TMA walishazitangaza na wakatoa tahadhari kwa mikoa ya kanda ya ziwa na ukanda wa pwani dar ikiwemoHali hii tangu juzi CCN Weather wameitangaza itapiga mpaka Tanzania
Lakini mamlaka ya hali ya hewa nchini wapo kimyaa kama mimi hapa...
Hii itapiga hadi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app