Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

mzee rage pole wana ccm tabora wameamua kampumzike salama, hiyo ndio tabora wazee wa tano tu unasepa
 
Vigele gele na vifijo mama, ndio furaha
 
Ni kweli
Tetesi :mwakyembe✅,Nyalandu ✅, Mwigulu ❌, Mhongo ✅, Riziwani ✅, Nape ❌, Jerry Slaa ❌
Simbachawene❌, Pallangyo✅
 
Jaman leten matokeo ya :
. Nkasi- kessy
. Ilamba- mwigulu
. Rungwe- mwandosya
hao vp wamepita?
 
Korogwe mjini, Mary chatanda kidedea
 
Mwigulu nchemba kapona iramba?naomba mnijuze!

Vituo nilivyovipata mpaka sasa

Masimba
Mwigulu 88
Jairo 1
Kilimba 0
Amon 0


TYOSELA
Mwigulu 73
Jairo 0
Kilimba 0
Amon 1


Mlandala

Mwigulu 50
Jairo 0
Kilimba 3
Amon 0


Mang'ole
Mwigulu 173
Jairo 6
Kilimba 0
Amon 0


MSAI
Mwigulu 294
Jairo 35
Kilimba 59


MALUGA
Mwigulu 322
Kilimba 5
Jailo 2
Amoni 7


UWANZA

Mwigulu 172
Jairo 8
Kirimba 23
Amon 2


Nganguri
Mwigulu 727
kilimba 2
jairo 2
Amon 0


KISIRIRI
Mwigulu 1587
Jairo 56
Kilimba 21
Amon 12

Kadiria mwenyewe kwa mwelekeo huu matokeo yataishiaje
 
nasikia tabora ni jimbo pekee ambalo halijawahi kuongozwa na mbunge mmoja miaka 10 mfululizo...
 
Back
Top Bottom