Mnamo siku ya leo kulitegemewa kufanyike uchaguzi ndani ya chama cha CCM
Hapa Nyamongo wilayani Tarime
Wagombea hiyo nafasi ya ubunge walikuwa watatu
Nyambari Nyangwine
Ryoba Kangoe
Ghimunta
Uchaguzi ulitakiwa kufanyika leo, katika HALI ya sintofahamu Kumbe watu walipiga kura usiku wa kuamkia leo Kiongozi mmoja wa juu wilaya Alipewa gari mpya na hela
Sasa mchezo huo ulichezwa na wachache tu ndani ya chama Ndipo wale waliokosa ikabidi tu waseme ukweli juu ya kinachoendelea na kilichofanyika usiku.Kweli kura zimekamatwa!
Sasa swali ni
hao waliosema huo ukweli wa kutibua dili la wenzao. Je, nao iwapo wangepewa hizo hela na magari Wangesema ama wangenyamaza mchezo uendelee?
Hapa Takukuru inabidi ifike huku fasta ili Nyambari ajibu hii tuhuma!
Guys ktk hichi kipindi tutashuhudia mengi mno!
Ni huyu huyu Nyambari alidaiwa kuwagawia watu piki piki, vyerehani, na hotpots Alileta makontena ya hivyo vitu!
Halafu sisiemu bila aibu wanasema EL ni fisadi, hakuna msafi ndani ya sisiemu, wote ni rushwa kwa kwenda mbele kutafuta uongozi!