Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Km kweli uyu jamaa uwezo wake bungeni ulikua sawa na yule mbunge mwenye elimu ya darasa la.saba kibajaji....hawa baada ya kuwa wabunge walikua ni ma MC wavigodoro maneno shombo
 
Mkuu pole sana karibu msimbazi hiyo ndio ccm nape chezea Dodoma styre in kukatwa tu
 
nasikia tabora ni jimbo pekee ambalo halijawahi kuongozwa na mbunge mmoja miaka 10 mfululizo...

ndio kiongozi tabora mjini hao ni wazee wa tano unaondoka, rage kakutana na waswahili wenzake wamemnyoosha yeye si mzee wa porojo akasahau yupo na wazawa wenzake wazee waporojo pia sasa hoi
 
mureba Anna Tiba kidedea.................huko Ngara Issa Samma naye kidedea
kutoka Sengerema Masha anaongozi kwenye vituo vingi.
 
Korogwe mjini, Mary chatanda kidedea,
 
Rais gani mtoa rushwa?

angetoa rushwa wangemshtaki yeye alihojiwa na Takukuru.

Huyo sio mtoa rushwa wala mpokea rushwa kama wale nyumbu waliomsaliti padre.

Nyumbu mmenunuliwa na lowasa
 
Mathias Byabato naomba matokeo ya udiwani kata IJUGANYONDO na ya ubunge bukoba vijijini
 
Last edited by a moderator:
Vituo nilivyovipata mpaka sasa

Masimba
Mwigulu 88
Jairo 1
Kilimba 0
Amon 0


TYOSELA
Mwigulu 73
Jairo 0
Kilimba 0
Amon 1


Mlandala

Mwigulu 50
Jairo 0
Kilimba 3
Amon 0


Mang'ole
Mwigulu 173
Jairo 6
Kilimba 0
Amon 0


MSAI
Mwigulu 294
Jairo 35
Kilimba 59


MALUGA
Mwigulu 322
Kilimba 5
Jailo 2
Amoni 7


UWANZA

Mwigulu 172
Jairo 8
Kirimba 23
Amon 2


Nganguri
Mwigulu 727
kilimba 2
jairo 2
Amon 0


KISIRIRI
Mwigulu 1587
Jairo 56
Kilimba 21
Amon 12

Kadiria mwenyewe kwa mwelekeo huu matokeo yataishiaje

Wasira Tyson kashinda kwa 400%
 
Back
Top Bottom