Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

hizo ni fikra finyu sana kwamba mtu akishindwa bas ndo kaabika. nn maana ya ushindani, kwan kabla ya kuomba ubunge alikuwa haishi. chuki zako hukupaswa kuziexpose namna hii. shame
 
Morogoro kusini tafadhali kama kuna mtu ana matokeo
 

Mkuu naomba matokeo ya manyoni magharibi na mashariki
 
Vipi Bukoba na Bukoba manispaa?
 
Ni kweli
Tetesi :mwakyembe✅,Nyalandu ✅, Mwigulu ❌, Mhongo ✅, Riziwani ✅, Nape ❌, Jerry Slaa ❌
Simbachawene❌, Pallangyo✅

Nape anaelekea kushinda kwa kadirio la 98%
 
Hivi kama Matokeo ya CCM wenyewe kwa wenyewe yanachelewa hivi kutoka ya UChaguzi Mkuu si yatachukua mwezi mzima!!
 
kijana bado hukubalian na mm eeeh?! Sasa subir mwanyamaki akishinda njoo unidai laki5 na ngwenda ikitali ukufuma kumbwan mpaka matema

Tatizo hawa vijana wanasikiliza maoni ya wapiga debe wa stendi na wanywa viroba ndio wanachukulia kuwa ni maoni ya wananchi wote.
 
Habari nyingi humu si za kweli. Jukwaa hili siku hizi limeingiliwa. Mods rudisha heshima ya jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…